07/11/2022
Kumekucha😀😀
-entertainment and businessman
-artist
-videos maker
-footbooller
�here we go...................�
07/11/2022
Kumekucha😀😀
02/10/2022
Pray for me guys😪
Jamaa anaumwa uviko 19
Je ni kweli? au yanga hawajamlipa ela zake?🤔
Comments ziwe hapo chini tujue ukweli...
02/10/2022
ALLY KAMWE AMUOMBEA MSAMAHA MANARA.
"Nikipata fursa ya kuonana na Rais wa TFF Wallace Karia na Katibu Mkuu Wilfred Kidao nitashukuru, moja kati ya mambo ambayo nitayafanya ni kuwaomba ikiwapendeza, basi wampunguzie adhabu Haji Manara kwa sababu sisi Yanga bado tunamuhitaji na mimi binafsi nahitaji kujifunza vitu vingi kutoka kwake"
"Nitawaomba wa-deal na mazuri ambayo Haji Manara aliyafanya kwenye mpira wetu na yale mapungufu yake wayachukulie k**a sehemu ya ubinadamu.Kama kuna nafasi hata ndogo ya kumpunguzia adhabu, sisi Yanga tutashukuru"
ALLY KAMWE [],Afisa Habari wa Klabu ya Yanga SC 🇹🇿.
Usisahau kutufollow
01/10/2022
Maneno ya simba
"Tunazitaka alama tatu za wakulima wa zabibu za Dodoma 😋"
Mwanasimba njoo ufurahie soka la kibingwa 💪
30/09/2022
RASMI: Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi CEO wao mpya Andre Mtine 🇿🇲
Mtine amewahi kufanya kazi katika klabu ya Tp Mazembe 🇨🇩 kwa miaka 12, na klabu zingine k**a Power Dynamo na Zesco United zote za Nchini Zambia 🇿🇲
Pia aliwahi kuwa mjumbe wa k**ati ya fedha katika shirikisho la soka Africa (CAF)
Aidha, aliwahi pia kufanya kazi katika shirikisho la soka Nchini Zambia. Anaenda kuchukua mikoba ya Senzo Mazingisa 🇿🇦
Rais wa klabu ya Yanga SC, Eng. Hersi Said ameeleza kuwa, kupitia Application mpya ya Yanga iliyotambulishwa leo, watatangaza safu mpya ya uongozi wa Idara ya habari ya Yanga leo jioni.
Je nani atakuwa msemaji wa wananchi??... Kaa karibu nasi...
sports area