Apotv_5

Apotv_5

Share

SPORTS & ENTERTAINMENTS
NEWS DAILY | COMEDY | GOSSIPS
TECH NEWS | GRAPHIC DESIGN
�CONTENT CREAT

23/05/2023

HATUJAFANYA VIZURI MSIMU HUU TUNAJIAANDAA KWA MSIMU UJAO
KONGOLE KWA MTANI!

Shabiki wa aipa kongole kwa kufanya vizuri msimu huu, awataka viongozi wa Simba kujenga timu kwa ajili ya msimu ujao.

21/05/2023

🔴MWANASIMBA KINDAKINDAKI AIPONGEZA YANGA PIA AMWAGA USHAURI KWA VIONGOZI WA TIMU YAKE. Tazama hapa

21/05/2023

WYDAD CASABLANCA imetinga Hatua ya Fainali ya CAF Champions league kwa faida ya goli la ugenini zidi ya MAMELODI SUNDOWNS baada ya sare ya magoli 2-2. Ikumbukwe mechi ya awali iliyopigwa Morroco mechi iliisha kwa sare ya 0-0 wydad wakiwa nyumbani. Matarajio ya wengi yamekatishwa pale SA.

18/05/2023

Historia imeandikwa! watinga Fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa Mara ya kwanza.


17/05/2023

Nani kwenda Fainali leo?? Ni nusu Fainali ya pili ya kombe la shirikisho barani Afrika Kati ya wenyeji zidi ya wananchi
Baada ya yanga kushinda nyumbani kwa ushindi wa magoli 2-0, je leo wataweza kufuzu ugenini?

17/05/2023

Nusu Fainali ya mkondo wa pili ya Kati ya na inapigwa jumatano ya Leo katika Jiji la Manchester. Nani kumfuata kwenye Fainali? Ikumbukwe mechi ya kwanza iliisha kwa sare ya 1-1 pale Santiago Bernabeu. Nani kutinga Hatua inayofuata??


17/05/2023

Ushindi wa 1-0 umewapeleka final ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE kwa ushindi wa jumla (Aggregate) 3-0 zidi ya Mahasimu wao katika mechi ya mkondo wa pili.
Je watabeba ndoo??


16/05/2023

inarudi Tena leo usiku katika mechi ya mkondo wa pili wa nusu fainali Kati ya wakiwakaribisha katika dimba la nchi Italy. Mechi ya kwanza ilitamatika kwa AC Milan kukubali kichapo Cha goli 2-0. Je watakubali au watapindua meza.



16/05/2023

Karibu kwenye ukurasa wetu rasmi wa maalumu kabisa kwa masuala au taarifa mbalimbali za kimichezo na Burudani. Hapa utapata kila kinachojili katika ulimwengu wa kimichezo ndani na nje ya nchi. Kaa karibu na page hii ujipatie kilicho Bora. Kazi Yako kubwa Leo Ni kutu-follow tu na utakuwa umetisha Sana!

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Chamazi MBAGALA HQ
Dar Es Salaam