06/09/2025
Kiungo wa Real Madrid Jude Bellingham yuko nje ya uwanja tokea msimu umeanza baada ya kufanyiwa operesheni ya bega.
Pichani ni Jude akiuguza bega lake taratibu taratibu huko Sardinia, Italy Mapapparazzi wa ulaya bwana! 😁🙌🏾
05/10/2023
HT : PRS 1-2 SSC.
⚽-BALUA.
⚽-CHAMA.
⚽- BOCCO.
Mnyamaa 🙌
04/10/2023
Dakika 70'
IHEFU 2-1 YANGA .
04/10/2023
Jahazi la Kitayosce ya England linazidi kuzamaaaa ......🤩
Neno Moja kwa Kizeee Kipwax 🤩
03/10/2023
Cheers🥂
To the new age my lovely siz
I wish you more happiness in your life ❤️❤️❤️enjoy your day.
I LOVE YOU ❤️
01/10/2023
Kuna nafasi kubwa utapata za kuzungumza mbele ya kadamnasi au kuongoza.
Usijiulize kwanini mimi, ila jiambie walichokiona, ndicho nilichonacho.
Kaka angu mimi na Katibu wa Vijana wa hovyoooo 🤍
01/10/2023
Wekundu wa Chamaziiii haoooo 🤩
30/09/2023
Nadhani kwa sasa Ten Hag aondoke.......
Tena atokomeeeee anazidi kuiua United ya watuuuu 😂