Mama MbappΓ© Analipwa Kuliko Mastaa wa Real Madrid!
Kwetu Sport
Habari za michezo 24 hrs ndani na nje ya Tanzania . Follow Social channels zetu @kwetusport
ENDRICK NI BALAA! π€―π§π·
Carrick apewe Mkataba wa Kudumu? π₯π΄
Je, Huu Ndio Ugonjwa Unaorudisha Nyuma Yanga Klabu Bingwa? π€β½
Wadau wa soka, hebu tujadili kidogo. Ukifuatilia kwa jicho la tatu mechi za Yanga Klabu Bingwa hatua ya makundi, utagundua kitu cha kushangaza.
Kwenye mechi 5, wamefungwa magoli 4, na karibia yote yanafanana!
β Krosi ya Hany kwa Trezeguet (Al Ahly).
β Krosi iliyozaa goli la kujifunga (Al Ahly - Kwa Mkapa).
β Krosi na uzembe wa kuokoa (FAR Rabat).
Inaonekana "Mipira Iliyokufa" na Krosi ndio sumu ya Yanga msimu huu. Wewe umeona sababu nyingine tofauti na hii?
Weka maoni yako hapa chini, tuchambue pamoja! ππ
Usisahau ku-Like page yetu na ku-Subscribe YouTube channel yetu kwa uchambuzi zaidi.
Amorim ALIFELI? Carrick amemwasha Mainoo! π₯π΄
Takwimu hazidanganyi! π Tangu Michael Carrick apewe timu, Kobbie Mainoo amekuwa injini mpya ya Man United. Angalia jinsi alivyowasha moto kwenye mechi 4 mfululizo za ushindi dhidi ya City, Arsenal na Spurs. Je, Amorim alikuwa anamchezesha vibaya? Tupe maoni yako! π
Petro de Luanda vs Simba | Simba ndoto za robo zimeisha
07/02/2026
Jumamosi ya Kufa na Kupona! Nani Atatoboa, Nani Atalia Leo? π€π₯
Leo ni siku ya hukumu kwa vigogo wa soka la Tanzania kimataifa! πΉπΏβ½
Mnyama yuko ugenini, Wananchi wako ugenini, na Wanalambalamba wako nyumbani.
Kati ya Simba, Yanga na Azam FC:
1οΈβ£ Nani ana nafasi kubwa ya ushindi?
2οΈβ£ Nani kibarua chake ni kigumu zaidi?
Usipite bila kuacha utabiri wako wa "Full Time" hapa chini! π
Lamine Yamal: Kinda Bora Zaidi Katika Historia? β½
Mgomo wa Ronaldo Umeisha? Mabosi Saudia Watoa Tamko! πΈπ¦π₯
Maofisa wa ngazi za juu Saudia wanatarajia Cristiano Ronaldo kumaliza mgomo wake na kuivaa Al-Ittihad Ijumaa hii! Je, CR7 amekubali yaishe au kuna jambo nyuma ya pazia? π§
Mambo makuu kwenye video hii:
β
Uwezekano wa Ronaldo kucheza Ijumaa.
β
Kipengele cha mkataba cha Euro Milioni 50 (Release Clause).
β
Ujumbe wa Mabosi wa Saudia kwenye siku yake ya kuzaliwa (Miaka 41).
β
Hatma yake Al-Nassr baada ya msimu huu.
Usisahau ku-Follow kwa habari zaidi za michezo! π
Soka
Ronaldo agoma kucheza Al Nasr cha PIF ya Saudi Arabia
01/02/2026
FT SIMBA 2-2 Esperance de Tunis
Simba imeangusha pointi kwa mara nyingine tena
π¨ RASHFORD KUNG'ARA BARCELONA! π₯ Carrick Aingilia Kati Usajili wa Β£26M πͺπΈ
BREAKING: Barcelona wanataka kutoa Β£26m kumnunua Rashford jumla baada ya kung'ara kwa mkopo! π° Michael Carrick amegoma, anamtaka abaki United. Wewe ungefanyaje? β½οΈπ
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the business
Telephone
Website
Address
Kinyerezi Songas
Dar Es Salaam