Selembe sport

Selembe sport

Share

Ukurasa huu unahusu habar mbalimbali za michezo na burudan

15/12/2020

Simba, Yanga kukutana Zanzibar

TUESDAY DECEMBER 15 2020









ADVERTISEMENT

Zanzibar. Jumla ya timu tisa ziwamo kutoka Tanzania bara na Zanzibar zinatarajiwa kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayotarajiwa kuanza mapema Januari 2021.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Omar Hassan (King) alibainisha hayo leo Desemba15, 2020 wakati akitoa taarifa kwa vyombo vya habari huko Maisara Mjini Unguja.



Alisema Kati ya timu hizo, timu tano kutoka Tanzania bara ikiwamo ni Simba, Yanga, Azam, Namungo na Mtibwa huku kutoka Zanzibar ni timu nne ikiwamo Jamhuri, Chipukizi, Mlandege na Malindi.

"Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza Januari mosi au tatu, hiyo ni kutokana na utaratibu wa upangaji wa ratiba ya mashindano hayo, " amesema King

14/12/2020

Matokeo raund ya 32

14/12/2020

DROO YA UEFA CHAMPION LEAGUE

13/12/2020
13/12/2020

Azam FC yatoa ripoti ya Prince Dube

JUMAPILI , 13TH DEC , 2020

NA MWANDISHI WETU

Mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube, aliyeenda Afrika Kusini kwa matibabu anatarajia kurudi nchini leo Desemba 13, 2020.



Mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube

Dube ataondoka mjini Cape Town, saa 8:20 mchana, kwa ndege ya shirika la Kenya Airways, itayowasili Dar Es Salaam saa 5:45

13/12/2020

Kusini afariki Dunia

JUMAPILI , 13TH DEC , 2020

NA MWANDISHI WETU

Beki wa Mamelodi Sundowns Motjeka Madisha, amefariki akiwa na miaka 25. Taarifa zimeeleza kuwa Madisha amefariki kwenye ajali ya gari alfajiri ya leo Desemba 13, 2020 huko Johannesburg.



Beki wa Mamelodi Sundowns Motjeka Madisha

Madisha ameichezea Mamelodi zaidi ya mechi 130 na kushinda makombe matatu ya ligi kuu pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika na Super Cup.

Beki huyo ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa tegemeo kwenye mafanikio ya Mamelodi chini ya kocha Pitso Mosimane, ambapo mbali na ligi pamoja na klabu bingwa pia walishinda mataji mbalimbali k**a Telkom Knockout, the Nedbank Cup.

Pia nyota huyo ameichezea timu ya taifa ya Afrika Kusini akijihakikishia nafasi kwa miaka ya hivi karibuni.



Beki wa Mamelodi Sundowns Motjeka Madisha (kushoto) akikabana na Lionel Messi.

Motjeka Madisha pia alimkaba Lionel Messi kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa Mei 16, 2018 na kumalizika kwa Barcelona kushinda magoli 3-1.

13/12/2020

Mnyama mkali kuwakabili wasimamizi wa jiji la mbeya jeee Ni mnyama kuendeleza mawindo au mbeya city kukusanya mapato kwa matajiri wa jiji

Tukutane sa 10:00 jioni

13/12/2020

Ratiba ya VPL leo

13/12/2020

Tk master Yuko fiti

13/12/2020

Msimamo wa ligi kuu wanawake Serengeti lite #

05/12/2020

Karibuni Sana kwenye uwanja wa burudan son tutakuletea habar mbalimbali za michezo na burudani

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam