17/09/2021
RASMI
Mechi mbili za kwaza za mkondo wakwanza wa LIGI YA MABINGWA AFRICA zimepatikana.
USGN 🇳🇪 vs 🇪🇬 Al Ahly
Jwaneng Galaxy 🇧🇼 vs 🇹🇿 Simba SC
page yangu ni maalum kwa habari za michezo za ndani na nje ya tanzania �
17/09/2021
RASMI
Mechi mbili za kwaza za mkondo wakwanza wa LIGI YA MABINGWA AFRICA zimepatikana.
USGN 🇳🇪 vs 🇪🇬 Al Ahly
Jwaneng Galaxy 🇧🇼 vs 🇹🇿 Simba SC
26/03/2021
✍️ Goli bora la mwezi, Nadhan anaestahili zaidi ni LAMELA dhidi ya Arsenal
26/03/2021
✍️ Mchezaji bora wa mwezi
26/03/2021
👉Makocha wanaowania tuzo ya kocha bora wa mwezi Machi katika Ligi Kuu ya EPL.
👔 Potter
👔 Rodgers
👔 Solskjaer
👔 Tuchel
26/03/2021
Euro Mil 180
Borussia Dortmund wameweka bei ya Euro Milioni 180 kwa klabu yeyote ambayo inataka kuinasa saini ya mshambuliaji Erling Haaland msimu huu wa joto.
Klabu ambazo zinavutiwa na Haaland
🏴 Manchester City
🏴 Manchester United
🏴 Chelsea
🇪🇸 Real Madrid
🇪🇸 Barcelona
🇩🇪 Bayern Munich
Source : ESPN
Zambia 🇿🇲
DR Congo 🇨🇩
Tanzania 🇹🇿
Angola 🇦🇴
Kenya 🇰🇪
Togo 🇹🇬
👆 Hizi ndio nchi zilizoshindwa kutinga AFCON.
25/03/2021
👉 EPL kuanza kutimua vumbi Agosti 14.
Ligi Kuu ya Uingereza msimu wa 2021/22 utaanza Agosti 14 na kumaliza Mei 22.
✍️Kufuzu Afcon
FT South Africa 🇿🇦 1-1 🇬🇭 Ghana
FT Gabon 🇬🇦 2-0 🇨🇩 DR Congo
FT Gambia 🇬🇲 1-0 🇦🇴 Angola
FT Kenya 🇰🇪 1-1 🇪🇬 Egypt
FT Botswana 🇧🇼 0-1 🇿🇼 Zimbabwe
Full time
Kenya 1-1 Egypt
✍️ Majirani zetu wameondolewa kwenye mashindano yakishiriki AFCON
25/03/2021
👉 Kila la heri Taifa stars
25/03/2021
✍️ Nan anakua bingwa msimu wa 20/21 wa LaLiga
25/03/2021
👉 mechi za kufuzu kombe la dunia