02/12/2022
Timu kubwa AFRIKA kwenye rekodi kubwa AFRIKA. Asanteni bodi ya ligi tunategemea kupata cheti kutoka kwenu. Cheti cha Heshima. Rekodi yetu ni heshima kwa bara la AFRIKA. Tunaheshimisha mpira wetu kwa kuonesha ubora mkubwa.