08/08/2026
DOUMBIA HAPO HEWANI ATAWAFUNGA SANA
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA USAJILI MPYA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Huyu Ibrahim Doumbia ni moja ya washambuliaji hatari zaidi kuwahi kutokea ka katika bara la Afrika
Uwezo wake mkubwa upo katika kichwa chake na ni wazi kila mchezaji wa Simba anapaswa kujua namna ya kucheza na kijana huyu
Hapo hewani ni kuhakikisha wanamwaga maji ya kutosha ili kijana aweze kufunga mabao kwa maana mipira ya chini sio vitu vyake sana
Jamaa linaenda hewani k**a jini hakuna mtu anaweza kuwania mpira wa juu na Doumbia
Bado Simba haijafunga usajili ila ninaangalia namna ya kuachana na Loemba tuma neno niunge Simba kwenye Whatsapp namba 0763999638
08/08/2026
Hili ni Tamasha na kiufupi tumefurahia hakuna kingine tukutane Ngao ya Jamii
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA USAJILI MPYA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
08/08/2026
Kikosi cha Simba dhidi ya Polisi Kenya
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
08/08/2026
SAPRAIZ INAWEZEKANA LEO
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA USAJILI MPYA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Leo ni siku kubwa siku muhimu kwa mashabiki wote wa Simba ndani ya nje ya nchi ni siku ya burudani kubwa
Leo ndani ya uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kutakuwa na burudani nyingi za kukata na shoka wakiwemo wasanii wakubwa watakaoongozwa na Alli Kiba 'King Kiba'
Lakini mwisho Mashabiki watapata utambulisho wa wachezaji wao ambao watatumika katika msimu wa 2026/27
Funga kazi itakuwa mechi ya kirafiki kati ya Simba na Polisi FC kutoka Kenya
Lakini leo huenda kukawa na mchezaji mpya ambaye hajatambulishwa bado na anaweza kutambulishwa leo
Ikumbukwe kuwa sabu ya ushambuliaji ya Simba haijakamilika kutokana na sasa mshambuliaji tegemeo ni mmoja tu Ibrahim Doumbia ambaye hana msaidizi
Ikumbukwe kuwa mshambuliaji Seleman Mwalimu amerejea katika klabu yake ya Wydad Athletic hivyo Doumbia anahitaji msaidizi
Ukitizama kikosi cha simba kimekamilika kwa usajili wa wachezaji wa kigeni wakiwa tayari wapo 12 lakini kocha mkuu wa timu hivyo Steve Barker amesema jina la Loemba liondolewe
Leo huenda tukatarajia utambulisho wa nyota ambaye atakuwa Sapraiz kwa mashabiki
Ili kujua kila kitu jiunge na group la Simba Taarifa Whatsap tuma neno Niunge Simba kwenda whatsap namba 0763999638
07/08/2026
MAANDALIZI SIMBA DAY YAMEKAMILIKA
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA USAJILI MPYA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
Kikosi cha Simba kimekamilisha maandalizi yake kuelekea Tamasha kubwa la burudani Simba Day ambalo litakwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 90 ya klabu ya Simba.
Mnyama yuko tayari kuwapa burudani mashabiki wake kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Uhuru.
07/08/2026
MAEMA AANZA TIZI MZIMBAZI
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA USAJILI MPYA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Neo Maema, alitua nchini jana na leo asubuhi alishiriki mazoezi ya mwisho ya timu hiyo yaliyofanyika Uwanja wa Uhuru, kuelekea Tamasha la Simba Day litakalofanyika kesho Jumamosi kwenye uwanja huo.
Maema amerejea kwa pendekezo la kocha Steve Barker, baada ya uongozi wa Simba kufanikiwa kumsajili kwa mkopo wa hadi mwisho wa msimu akitokea klabu ya Mamelodi Sundowns.
Kurejea kwa Maema kunamaanisha kuwa Simba sasa imekamilisha idadi ya wachezaji 12 wa kigeni. Hata hivyo, kiungo Alassane Kante alishataarifiwa na uongozi kwamba hayuko kwenye mipango ya kocha Barker kuelekea msimu ujao.
Nyota 12 wa Kigeni wali kwenye Kikosi cha Simba:
Mamadou Kassali
Ismael Toure
Rushine De Reuck
Clatous Chama
Libasse Gueye
Neo Maema
Anicet Oura
Elie Mpanzu
Ibraheem Jabaar
Keletso Makgalwa
Inno Loemba
Ibrahim Doumbia
Simba Haijafunga Usajili
Licha ya kukamilisha idadi hiyo, inaelezwa kuwa Wekundu hao wa Msimbazi bado hawajafunga hesabu zao za usajili. Katika siku 8 zilizobaki, wanaweza kuongeza silaha nyingine.
Hata hivyo, kiungo Inno Loemba ndiye anayetajwa kuwa kwenye sintofahamu baada ya mkurugenzi au kocha wa Simba kutoridhika na kiwango chake.
Kwa ishu za usajili jiunge na group la Whatsapp tuma neno niunge Simba kwenda Whatsapp namba 0763999638
06/08/2026
WAJUE WAPINZANI WA SIMBA KATIKA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA USAJILI MPYA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Droo mechi za hatua ya awali na raundi ya kwanza michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL) imefanyika leo huko Misri.
Klabu ya Simba itaanza ugenini huko Malawi kumenyana dhidi ya Mighty Wonderars kwenye hatua ya awali. Simba wataanzia ugenini kwenye mechi itakayopigwa kati ya Septemba 4-6, 2026 na kurudiana nyumbani kati ya Septemba 11 - 13 mwaka huu.
Mnyama akivuka hatua hii kwenye raundi ya kwanza atamenyana na mshindi wa mchezo kati ya De Agosto ya Guinea ya Ikweta dhidi ya Fomboni Fc ya Comoro.
K**a unataka kujua kuhusu usajili mpya tuma neno niunge simba kwenda Whatsapp namba
0763999638
05/08/2026
SIMBA YABORESHA SAFU YA USHAMBULIAJI
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA USAJILI MPYA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Ieleweke kuwa Simba bado haijafungwa dirisha la usajili huku wakiwa wamemuweka sokoni kiungo mshambuliaji Inno Loemba ili kusajili mshambuliaji katika nafasi hiyo
Simba wanahitaji kumuongezea nguvu mshambuliaji wao mpya Ibrahim Doumbia
Fuatilia taarifa zote ndani ya group la Simba Taarifa Whatsap tuna neno niunge simba kwenda Whatsapp namba 0763999638
04/08/2026
KAZI NI MOJA TU KWA MAEMA MSIMBAZI
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA USAJILI MPYA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Klabu ya Simba SC ipo katika hatua za mwisho za kumrejesha kiungo mshambuliaji wa Afrika Kusini, Neo Maema, kwa mkataba wa mkopo wa msimu mzima akitokea Mamelodi Sundowns.
Taarifa zinaeleza kuwa Sundowns hivi karibuni ilimuongezea Maema mkataba wa miaka miwili kabla ya kufikia uamuzi wa kumtoa tena kwa mkopo ili apate nafasi zaidi ya kucheza.
Inaelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker, ndiye aliyependekeza kurejeshwa kwa kiungo huyo baada ya kuridhishwa na mchango wake msimu uliopita, ambapo alikuwa miongoni mwa wachezaji walioonyesha kiwango bora ndani ya kikosi cha Wekundu wa Msimbazi.
Kutokana na mahitaji ya benchi la ufundi, uongozi wa Simba ulifungua mazungumzo mapya na Mamelodi Sundowns, huku taarifa zikieleza kuwa makubaliano kati ya klabu hizo tayari yamefikiwa.
Kwa sasa, kinachosubiriwa ni kukamilishwa kwa taratibu za mwisho ili Maema arejee rasmi Msimbazi kwa mkopo wa msimu mmoja. Iwapo usajili huo utakamilika k**a ilivyopangwa, utakuwa ni nyongeza muhimu kwa Simba kuelekea msimu mpya.
SIMBA BADO INASAJILI ILI UJUE KILA KITU TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA 0763999638
04/08/2026
KAZI IMEKAMILIKA RWANDA
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Kikosi cha Simba leo kinatarajiwa kurejea nchini kutoka Rwanda baada ya kukamilisha takribani wiki mbili za pre-season nchini humo.
Simba ilitumia michuano ya CECAFA Kagame Cup k**a sehemu ya maandalizi yake ambapo baada ya kuhitimisha safari yao kwenye michuano hiyo, Wekundu wa Msimbazi waliendelea na program nyingine za mazoezi.
Kabla ya kurejea nchini, Simba inatarajiwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Al Meriekh ya Sudan. Simba inarejea nchini kukamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea Simba Day siku ya Jumamosi, August 08.
MAMBO YA UDAJILI NI HUKU TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA 0763999638