10/05/2026
Morice ⚽
Chama⚽
Mwalimu⚽
Youre⚽
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Ushindi wa kishindo
K**a wewe ni mpenzi wa simulizi bonyeza maandishi ya Bluu hapa chini na ufollow Shamba La Simulizi
👇👇👇👇👇
https://www.facebook.com/profile.php?id=61573338360348&mibextid=ZbWKwL
10/05/2026
Mourice⚽
Chama⚽
Mwalimu⚽
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
10/05/2026
Kikosi cha Simba dhidi yangu Tanzania Prisons
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
10/05/2026
FAINALI CAF CC YAIPA SIMBA TUZO BMT
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Usiku wa jana Jumamosi, klabu ya Simba ilitwaa tuzo ya timu bora ya mwaka 2025 tuzo za BMT zinazotolewa kwenye ukumbi wa The Super Dome Masaki jijini Dar es salaam.
Simba ilitwaaa tuzo hiyo kwa kuishinda timu ya Mpira wa kikapu ya Dar City iliyokuwa ikipambana nayo kwenye kinyang’anyiro hicho.
Mwaka 2025 Simba ilipata mafanikio makubwa ya kucheza fainali Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) ambapo ilimaliza mshindi wa
SIMBA TAARIFA GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMINI MKUU WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
09/05/2026
Kuna kijana wa Uto ananisumbua lakini siwezi olewa na Uto mimi labda nilogwe
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
K**a wewe ni mpenzi wa simulizi bonyeza maandishi ya Bluu hapa chini na ufollow Shamba La Simulizi
👇👇👇👇👇👇
https://www.facebook.com/share/1AsANxzNhr/
08/05/2026
Nasikia kelele Azam FC anatozwa kodi huko na kina Chobwedo🤣🤣
Mwanasimba k**a uko online tusalimiane Hi🥰
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
K**a wewe ni mpenzi wa simulizi bonyeza maandishi ya Bluu hapa chini na ufollow Shamba La Simulizi
👇👇👇👇👇
https://www.facebook.com/share/1N91RxmHNk/
08/05/2026
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Baada ya kipindi kigumu, unaweza kusema winga Elie Mpanzu sasa amejipata kwani amerejesha makali yake yaliyopelekea Simba ikamng'oa pale AS Vita kwenye usajili wa dirisha dogo msimu uliopita.
Mpanzu amerejea rasmi kwenye kikosi cha kwanza, akirejesha imani ya kocha Steve Barker kwake baada ya mwanzo wa kusuasua.
Mcongomani huyo ameanza kikosi cha kwanza kwa mechi nne mfululizo huku akihusika katika upatikanaji wa mabao yaliyofungwa na Wekundu hao wa Msimbazi.
Ametoa pasi mbili za mabao katika mechi dhidi ya Yanga na JKT Tanzania, mabao yote yakifungwa na Clatous Chama.
Kwa sasa yeye ndiye kinara wa pasi za mabao kwenye kikosi cha Simba akiwa na asisti 7 huku pia akiwa amefunga mabao matatu msimu huu.
Mpanzu ndiye mchezaji aliyehusika kwenye mabao mengi zaidi katika kikosi cha Simba (mabao 10) akifuatiwa na Chama aliyehusika kwenye mabao nane (kafunga mabao 5 na asist 3). Mshambuliaji Suleiman Mwalimu amehusika kwenye mabao 7 (kafunga 6 na asisti 1) k**a ilivyo kwa Libasse Gueye aliyefunga mabao 5 na asisti 2.
Barker amekuwa akimtumia Mpanzu katika maeneo tofauti kwa kuzingatia mahitaji ya mchezo ambapo kwenye mchezo wa fainali kombe la Muungano dhidi ya Yanga alianza k**a mshambuliaji kivuli kabla ya kuhamia pembeni baada ya Anicet Oura kuumia.
SIMBA TAARIFA GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMINI MKUU WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
07/05/2026
K**a unaipenda Simba andika NGUVU MOJA❤️
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
K**a wewe ni mpenzi wa simulizi bonyeza maandishi ya Bluu hapa chini na ufollow Shamba La Simulizi
👇👇👇👇
https://www.facebook.com/share/1ELRtwif9j/
07/05/2026
MSHAMBULIAJI WA LUPOPO ANASWA NA SIMBA SC
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Inaelezwa klabu ya Simba imeanza jitihada za kumnasa mshambuliani Henoc Molia anayeitumikia klabu ya FC Lupopo ya DR Congo.
Molia ameng'ara kwenye ligi kuu ya DR Congo msimu huu akifunga mabao 13 na huku akitoa asisti 9. Molia anaweza kutumika k**a mshambuliani au winga akitokea upande wa kulia au kushoto.
Mshambuliani huyo alitua St Lupopo msimu uliopita akitokea AC Rangers, ameonyesha utayari wa kuondoka Lupopo akihitaji changamoto mpya nje ya Congo.
Simba inatarajiwa kufanya maboresho ya safu ya ushambuliaji ambapo mpaka sasa ni Suleiman Mwalimu pekee anayetegemewa katika nafasi hiyo.
Katika mechi za karibuni kocha mkuu wa Simba Steve Barker amelazimika kuanza bila ya mshambuliani wa asili.
Mwalimu yuko kwa mkopo na huenda akarejea klabu yake ya Wydad k**a makubaliano kati ya Simba na Wydad hayatafikiwa ili kumuongeza mkataba.
Mghana Jonathan Sowah ni k**a anasubiri "Thank You" tu kwani licha ya kutakiwa kufanya mazoezi na timu ya vijana amegoma.
SIMBA TAARIFA GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMINI MKUU WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
07/05/2026
TAARIFA ZOTE MPYA ZA SIMBA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA SIMBA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE SIMBA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638
Kiungo fundi wa Simba Clatous Chama ameendelea 'kuwasha moto' msimu huu jana akiondoka na tuzo nyingine ya nyota wa mchezo katika mechi ya ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania iliyopigwa uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.
Chama alifunga bao pekee la ushindi wa Simba kwenye mchezo huo ambao Mnyama aliibuka na ushindi wa bao 1-0.
Lilikuwa bao la pili mfululizo Chama anafunga akipokea pasi kutoka kwa Elie Mpanzu ambaye sasa amefikisha asisti 7 msimu huu.
Katika mchezo uliopita dhidi ya Yanga, Chama alifunga 'bao bora la msimu' pasi ya usaidizi ikitoka kwa Mpanzu.
Chama amefikisha mabao matano kwenye ligi msimu huu akiendeleza rekodi yake nzuri.
SIMBA TAARIFA GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMINI MKUU WHATSAPP NAMBA
0763999638
0763999638