Bocca Boxing Club

Bocca Boxing Club Established 2014. Bocca Gym Kambi Moto

29/08/2026

Boxing πŸ₯Š imekuwa njia maalumu kwa vijana wengi kufikia ndoto zao.
BOXING INAUNDWA KWA NIDHAMU βœ…
We appreciate y'all more than you know.
, learn, build, β€” starting from today and going as far as you can
Keep watching us

Professional Boxer   Aka Man Pozzo 75 KG πŸ‹οΈβ€β™‚οΈMmoja kati ya vijana chipukizi kabisa kutokea hapa kambimoto πŸ”₯ bocca !!!Bo...
29/08/2026

Professional Boxer Aka Man Pozzo 75 KG πŸ‹οΈβ€β™‚οΈ
Mmoja kati ya vijana chipukizi kabisa kutokea hapa kambimoto πŸ”₯ bocca !!!
Bondia huyu mwenye njaa ya ushindi
Yupo kazini! Yupo tayari kwa kaziβœ…

28/08/2026

Ilikuwa siku nzuri kwa vijana wa BOCCA kufanya Sparring ndani ya Boccagym KAMBIMOTO πŸ”₯ Leoo !
Tunakuza vipaji - tuna andaa mabigwa πŸ’ͺ🏾 mabondia fanyeni mazoezi na mkae tayari kwa mashindano #

25/08/2026

Kazi kazi! Hapa tupo na
Muendelezo wa kuandaa vijana '
Katika hali ya kimchezo πŸ₯Š

24/08/2026

Bondia unahitajika kujengwa !!
Ki Mwili na Ki Akili
Nidhamu weka mbele , Afya na Kujiamini ni mtaji mkubwa' usizarau πŸ‹οΈβ€β™‚οΈ shiriki mashindano mbali mbali ili uweze kukuza uzoefu wako πŸ’ͺ🏾
Kuwa msikivu kwa walimu ( COACHES)
BOCCA BOXING CLUB katika kukuza mchezo wa ngumi πŸ₯Š

24/08/2026

BOCCA BOXING CLUB ni klabu inayojikita katika kukuza mchezo wa ngumi πŸ₯Š, kugundua na kuendeleza vipaji vya vijana, kujenga nidhamu, afya, kujiamini, teamwork na kuwaandaa mabondia kushiriki mashindano ya ndani na ya kimataifa πŸ”₯

Ak Gs 451 Machine πŸ”₯ -  55 KG !!  Pro Boxer Kutokea kimara baruti , dar es salaam  Tanzania " record 4-0-0 tunawakaribish...
19/08/2026

Ak Gs 451 Machine πŸ”₯ - 55 KG !! Pro Boxer Kutokea kimara baruti , dar es salaam Tanzania " record 4-0-0 tunawakaribisha kuzichapa 2026 πŸ₯Š Bocca Boxing Club tunakuza vipaji ' Hatua kwa Hatua .

Bondia waziri magombana πŸ”₯Kutokea hapa bocca boxing club hq' Yupo tayari kwa kazi πŸ₯Šyuko tayari kwa mpambano' na tunawakar...
19/08/2026

Bondia waziri magombana πŸ”₯
Kutokea hapa bocca boxing club hq'
Yupo tayari kwa kazi πŸ₯Š
yuko tayari kwa mpambano' na tunawakaribisha kuzichapa!!!!
Mabondia fanyeni mazoezi.

Saidi mkola  πŸ’ͺ🏾 gym captain!!! Yuko tayari kwa kazi Bondia mwenye njaa zaidi ya simba mawindoni " 2026  tunawakaribisha ...
18/08/2026

Saidi mkola πŸ’ͺ🏾 gym captain!!!
Yuko tayari kwa kazi
Bondia mwenye njaa zaidi ya simba mawindoni " 2026 tunawakaribisha uringoni

Kazi kazi!
18/08/2026

Kazi kazi!

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bocca Boxing Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share