14/03/2023
Tuna kila sababu na uwezo wa kutufikisha Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Hii ni mechi ya kuandika historia kubwa.
ukurasa huu ni maalumu kwa taarifa za timu ya Simba sport club na
14/03/2023
Tuna kila sababu na uwezo wa kutufikisha Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Hii ni mechi ya kuandika historia kubwa.
14/03/2023
"Tunaendelea pale pale ambapo tuliishia lakini tunafanya kwa ukubwa zaidi na ubora zaidi sababu mechi hii ya Jumamosi ni ya tofauti sana. Ni mechi ambayo itatupeleka robo fainali, ni mechi ambayo inatufanya tuanze kutimiza malengo yetu ya kufika robo na kwenda mbele zaidi."- Ahmed Ally.
14/02/2023
"Huo ni zaidi ya mchezo wa kawaida ambao mwanadamu amewahi kuona au kufikiria. Sisi k**a Simba tunataka jambo moja tu, ni ushindi mbele ya Raja AC”
"Kwa mujibu wa CAF, mchezo ni saa 1:00 usiku, awali tulithibitisha kucheza saa 10:00 jioni lakini ratiba ya mwisho kutolewa na CAF imekuwa saa 1:00 usiku. Tumewaandikia CAF kuwaomba muda wa mchezo uwe saa 10:00 jioni."
"Naomba kuwambia mashabiki wa Simba tuanze kujiandaa na muda wa saa 1:00 usiku. Lakini sisi hatuangalii muda, muda wowote tupo tayari kupambana ili kupata ushindi. Na k**a mnakumbuka tulishawahi kucheza saa 4 usiku na tukapata matokeo."
"Waamu*i wa mchezo wanatokea Cameroon. Kuhusu Raja AC tayari tumeshawatumia taarifa kuwauliza watafika lini Tanzania lakini hadi sasa hawajasema lini watakuja."
"Kuhusu Sadio Kanoute hatakuwepo kwenye mchezo unakuja kutokana na kuwa na kadi tatu za njano. Kuhusu Saidi Ntibazonkiza sasa ameshapona, wengine ni Peter Banda."
"Rais wa heshima wa Simba SC, Mohammed Dewji kwa mapenzi yake na klabu ya Simba, mapenzi yake na mashabiki wa Simba alituomba tupunguze viingilio. Mzunguko sasa ni Tsh. 3,000, VIP C- Tsh. 10,000, VIP B - Tsh. 20,000 na VIP A - Tsh. 30,000."
"Tumeona taarifa kutoka kwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitangaza kwamba Rais Mama Samia atanunua kila goli kwa Tsh. 5 milioni."
"Sisi k**a Simba kwanza tumefurahi, tunaichukulia k**a ni agizo, mama anatutaka tukafunge magoli. Tumepokea na Jumamosi tunamuahidi kufunga magoli mengi kadri iwezekanavyo. Wachezaji wako tayari kumfurahisha mama na kuwafurahisha Watanzania."
"Simba tunapoingia kwenye mechi hizi za kimataifa tunakuwa tumeingia kwenye msimu wa sherehe. Kesho Jumatano kuanzia majira ya saa 5 asubuhi tutafanya u*indu*i bab kubwa kwenye tawi la Home Boys lililopo Tegeta.”
"Tunakwenda kwenye mechi kubwa tukijiamini maana tunaamini tunachokwenda kukifanya kwenye michuano hii."
"Ili tuweze kupata matokeo Jumamosi basi mashabiki wa Simba 60,000 tuwaone pale Kwa Mkapa. Wakijaa mashabiki wa Simba hakuna timu Afrika hii inaweza kutoka salama. Tayari tumeanza kuuza tiketi, nunua tiketi yako mapema."- Ahmed Ally.
14/02/2023
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
12/02/2023
🔥 𝐌𝐎𝐓𝐎 𝐍𝐈 𝐔𝐋𝐄 𝐔𝐋𝐄: 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐊𝐀𝐏𝐀 𝐇𝐀𝐓𝐎𝐊𝐈 𝐌𝐓𝐔 🔥
12/02/2023
Viingilio vya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Club Athletic.
Huu sio mchezo wa kukosa kwa mambo makubwa ambayo yatakuwepo.
08/02/2023
Kikosi ambacho kitasafiri kesho alfajiri kuelekea nchini Guinea kuwakilisha nchi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.
08/02/2023
Kikosi kimefanya mazoezi ya mwisho kabla ya kesho Alhamisi kuondoka nchini kuelekea nchini Guinea ambako kitacheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya AC.
Taarifa zaidi kuhusu safari hiyo inapatikana kwenye Simba App.
07/02/2023
JEZI MPYA ZA SIMBA ZA KIMATAIFA
Tunakwenda kuwakilisha nchi kimataifa tukiwa na u*i wa viwango vikubwa.
01/02/2023
RATIBA
Hii hapa ratiba ya mwezi Februari, 2023.
30/01/2023
Murtaza Mangungu ameshinda uchagu*i nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu kwa kupata kura 1,311.
Walioshinda nafasi ya ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ni;
1. Dr Seif Ramadhan Muba - kura 1636
2. Asha Baraka - kura 1564
3. CPA Issa Masoud Iddi - kura 1285
4. Rodney Chiduo - kura 1267
5. Seleman Harubu - kura 1250
29/01/2023
baada ya wimbo wa taifa ikafata dua