01/11/2020
Fullback ya Taifa🇹🇿🇹🇿
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Watani Wa Jadi, Sports, Dar es Salaam.
01/11/2020
Fullback ya Taifa🇹🇿🇹🇿
08/10/2020
Tupia kura yako
Mabingwa wa kihistoria V/S Mabingwa wa Nchi
21/09/2020
Huyu mwamba kucheza ligi moja na Nchimbi hapana ni Udhalilishaji😂
18/09/2020
Sawa sawa Boss umepambana sana hatimaye Furaha ya Wana Simba ikalejea tena 🙏
🙉🙉Ila cc wanaadamu tumeumbwa kusahau hivi sasa kuna wanaSimba baadhi wanakuona wewe wa kazi gani🙊🙊🤣
Tunacho taka cc Mashabiki wa Simba ni Kuona Tumu ina fanya Vizuri ✅ Hata usipo weka hiyo 20B ni sawa tu Tumekubali
Kwani Ukiiweka hiyo me K**a Shabiki na Pata faida gani🤣🤣🙊
Goja niishie hapa ila huyo Kigwangala Tumesha Msh*tukia Ni Mtumwa wa Koloni la Utopoloni🤣🤣
17/09/2020
Kuna ukweli hapo
Mechi ya Leo hiyo🤣🤣🤣
15/09/2020
Ety chama hawez kufikia huu moto kwa hyu dem🤣🤣
Mapovu yanaluhusiwa
14/09/2020
Za chini ya Kapeti au unaweza kuziita za nyuma ya pazia ni hizi hapa÷
Pengine hii inaweza kuwastua mashabiki wengi wa simba na wakaumia sana ila hawana budi kukubali mana mpira ni biashara.
Club ya Standard Liege ambayo ndio kinara wana ligi kuu Ubeligiji wametuma maombi na ofa ya kwa Simba Sc kuhitaji huduma ya Beki wake kitasa Beki bora Afrika ya mashariki na kati Joashi Onyango mwenye umri wa miaka 27.
Nyota ya Onyango kwenye kulisakata gozi la ng'ombe ilianza kuonekana akiwa na timu ya taifa ya Kenya kwenye mashindano ya Afcon yaliyofanyika nchini misri na vilab mbali mbali ughaibuni kupigana vikumbo kuhitaji huduma yake lakini havikufanikiwa kutokana na mkataba wake aliokuwa akiutumikia ndani Gori mahia.
K**a dili hilo litatimia basi Simba watavuna mil.880 za kitanzania japo kuna tetesi kwamba Simba wanataka bil.1.5 lakini hataivyo Tottenham nao wameonyesha nia ya kuhitaji huduma ya Beki huyo aliyejizolea sifa kem kem Africa na ulimwenguni kote kwa aina ya uchezaji wake.
14/09/2020
Lilisomeka bango mojawapo pale Jamhuri
14/09/2020
Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck amewapa wachezaji mapumziko ya siku moja na kesho jumanne wataanza mazoezi kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Biashara United ambao utapigwa jumapili Septemba 20, 2020.
K**a Yanga Mpe neno moja Mtani______🤣
14/09/2020
Simba tunawazidi kila kitu unabisha 🤣🤣