Sikiliza tambo za mashabiki wa Simba baada ya kuibuka na ushindi jana.
SokaPalace
KARIBU KWENYE IKULU YA SOKA
21/04/2023
Timu kwa nchi zilizosalia katika nusu fainali ya Uropa:
๐ฎ๐น Italia: 5 (Fiorentina, Juventus, Roma, Inter Milan, AC Milan)
๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Uingereza: 2 (West Ham, Man City)
๐ช๐ธ Uhispania: 2 (Sevilla, Real Madrid)
๐ฉ๐ช Ujerumani: 1 (Leverkusen)
๐ณ๐ฑ Uholanzi: 1 (AZ Alkmaar)
๐จ๐ญ Uswizi: 1 (Basel)
21/04/2023
Inter (UCL)โ
Milan (UCL)โ
Roma (UEL)โ
Juve (UEL)โ
Fiorentina (UECL)โ
Italia imeingiza timu tano kwenye hatua ya nusu fainali katika mashindano ya Ulaya ๐ฎ๐น
21/04/2023
Sevilla (2018), Barcelona (2019), Sevilla (2020), Villarreal (2021), Atlรฉtico Madrid (2022), Sevilla (2023).
Kwa mara ya 6 mfululizo klabu kutoka La Liga inaiondoa Manchester United.
20/04/2023
Ikitokea Aishi Manula anakosekana mechi vs Wydad CA robo fainali ya , nani ungependa kumuona langoni ?ALLY SALIM 'M au KAKOLANYA
20/04/2023
๐ซ Michezo 17 ya mwisho ya Frank Lampard k**a meneja:
โ Lost 2-1
โ Lost 2-0
โ Lost 1-0
โ Lost 2-0
โ Lost 2-1
โ Lost 3-1
โ Lost 4-1
๐ค Drew 1-1
โ Lost 2-1
โ Lost 3-0
โ Lost 4-1
โ Lost 2-0
๐ค Drew 0-0
โ
Won 3-0
โ Lost 1-0
โ Lost 2-0
โ Lost 2-1
โ Lost 2-0
Mchezaji wa kimataifa wa Congo ๐จ๐ฉ Fiston Mayele amefichua kwamba mchezaji wa Simba Sc Mzamiru Yassin alimpigia simu baada ya mechi na kumuona radhi kwa rafu ambayo alimchezea huku akisema haikuwa makusudi.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam