Sokatz

Sokatz

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sokatz, Sports, Dar es Salaam.

15/01/2023

simba sc 1 cska moscow 2

dak 52

mfungaji wa bao Habib kyombo

15/01/2023

Mapumziko

cska moscow 2 simba 0

15/01/2023

Cska Moscow 2 Simba Sc 0
DAK 32

01/01/2023

Ratiba ya leo NBC Premier League
upi utabiri wako

like page hii kwa habari zaidi za michezo

01/01/2023

Matokeo ya NBC Premier League jana tar 31/12/2022

Ni upi mtazamo wako juu ya Azam Fc wana jambo gani๐Ÿค”

30/12/2022

Yanga kesho kuwakosa Nyota hawa dhidi Mtibwa Sugar
- Denis Nkane
- Khalid Aucho
- Djuma Shabani
- Joyce Lomalisa
- Bernard Morrison
Ni upi utabiri wako wa matokeo

30/12/2022

Ratiba ya NBC Premier league leo

Tupangie matokeo ya leo kwa mechi zote
na idadi ya magoli
ushinde vocha ya 5000

24/12/2022

Barua ya Feisal Salum kwa wananchi

19/12/2022

Tuambie kombe ambalo Messi hajachukua mpaka sasa ๐Ÿค”

18/12/2022

NI MESSI AU MBAPPE LEO

17/12/2022

Wangapi wako na Morroco leo au wapigwe tu ๐Ÿ˜‚

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam
14121