Pundit Domson

Pundit Domson

Share

Love sports

13/11/2021

Page yetu instagram

06/11/2021
06/11/2021

Saa 2:00 usiku wa leo klabu ya Simba itamtangaza kocha wake mkuu mpya .

SaSA FANYA KUFOLLOW PAGE YA MICHEZO ILI UWE WA KWANZA KUMJUA

FOLLOW PAGE YA MICHEZO KWA TAARIFA INAYOITWA PUNDIT DOMSON

06/11/2021

Enock Inonga mlinzi wa Simba SC amepigwa faini ya Tsh 1,000,000 na atakosa mechi tatu kwa kosa la kumpiga kichwa mchezaji wa Coastal Union.

Inonga atazikosa mechi zifuatazo za timu yake :

Ruvu Shooting vs Simba SC
Simba SC vs Yanga SC
Simba SC vs Geita Gold

Photos from Pundit Domson's post 06/11/2021

U*i mpya wa BIASHARA UNITED

05/11/2021



TETESI AMBAZO ZINAZAGAA KUHUSU CLATOUS CHAMA KURUDI TANZANIA KATIKA KLABU YANGA TAARIFA SIO ZA KWELI NI VIJIMANENO TU ILI KUCHANGAMSHA UPEPO WA KIMICHEZO

04/11/2021

- Golikipa wa Arsenal Aaron ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 🔥

04/11/2021

Official ; Klabu ya Manchester Utd umethibitisha kuwa itamkosa mlinzi wao wa kati Raphael Varane kwa takribani mwezi mmoja kutokana na kuuguza majeraha.

04/11/2021

Mlinzi wa klabu ya Azam fc Daniel Amoah 🇬🇭 amwongeza mkataba wa miaka miwili (2) kuendelea kuitumikia klabu ya Azam fc.

04/11/2021

Serikali ya Zanzibar imeialika Yanga sc.

- Kuelekea kutimiza mwaka mmoja wa Serikali ya Zanzibar, Serikali hiyo imeialika klabu ya Yanga sc kucheza mchezo wa kirafiki katika kuhanikiza hafla hizo.

- Mkuu wa kitengo cha habari Yanga sc Hassani Bumbuli amesema, leo kocha wa klabu ya Yanga sc ameahilisha mapumziko mafupi aliyoyatoa ili aanze maandalizi Kuelekea mchezo huo wa kirafiki.

- Nabi ameita kikosi (B) cha Yanga sc ambacho kinasimamiwa na Mkurugenzi wa ufundi wa vijana wa Yanga sc Mwinyi Zahera.

- Atachagua baadhi ya Wachezaji ambao atawajumuisha na kikosi cha Wachezaji wa kikosi cha wakubwa ambao hawajaitwa kwenye timu zao za taifa.

- Wachezaji ambao hawatahusika kwenye mchezo huo wa kirafiki ambao utachezwa November 12 - 2021, kutokana na kuitwa kwenye timu zao za taifa ni pamoja na ....

01. Djuma Shabani = Dr Congo 🇨🇩
02. Khalid Aucho = Uganda 🇺🇬
03. Djigui Diarra = Mali 🇲🇱
04. Yaccouba Songne = Burkinafaso 🇧🇫
05. Saido Ntibazonkiza = Burundi 🇧🇮
06. Feisal Salum = Tanzania 🇹🇿
07. Bakari Mwamnyeto = Tanzania 🇹🇿
08. Dickson Job = Tanzania 🇹🇿
09. Zawadi Mauya = Tanzania 🇹🇿
10. Kibwana Shomari = Tanzania 🇹🇿
11. Ramadhani Kabwili = Tanzania 🇹🇿

FOLLOW PAGE YA MICHEZO KWA TAARIFA BORA ZA MICHEZO INAYOITWA PUNDIT DOMSON

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Dar Es Salaam