π₯π₯π₯π₯
Tanzania sports HD
All about sports HD in Tanzania
OSIMANE π₯π₯π₯π₯
WHAT A SAVE!!!!!π₯π₯π₯π₯π₯
Young Africans Sports Club
Simba SC Tanzania
TUJIKUMBUSHE KIDOGO ππππ
04/10/2025
SKAUTI MKUU WA SIMBA AJIUZULU, Mels Dalder raia wa Uholanzi ambaye ni Chief Scout wa Simba ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kujiuzulu wadhfa wake ndani ya Simba huku akiweka wazi kuwa sababu hajioni k**a anapita njia moja na mwelekeo wa Klabu kwasasa, yaani yeye ana vision nyingine ila kinachofanyika ni kingine.
Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa hata uteuzi wa Kocha Dimitr Pundev ulipingwa wazi na Skauti Mkuu maana yeye ndio alikuwa wa kwanza kugundua kuwa Kocha hana vigezo na aliwasilisha Klabuni ila tayari Klabu ilikuwa tayari imefanya maamuzi tena ya Mtu mmoja tu huku tayari wakiwa wamelipa gharama zote.
Taarifa zaidi ni kuwa cheo alichopewa Dimitr ni kuzibia BLANDA iliyofanyika na wala haukuwa mpango wa Klabu hivyo baadhi wanaamua kujiengua mmoja baada ya mwingine.
03/10/2025
KOCHA MKUU Simba SC Tanzania
21/09/2025
15/08/2025
π¨π¨ BREAKING:Usiku huu Ateba ameaga na kuondoka kwenya kambi ya Simba pale Misri.
Itβs Over kati ya Simba na Ateba.
Naby Camara amechukua nafasi ya Ateba kwenye orodha ya wachezaji wa kigeniποΈ
BALOTELI π₯π₯π₯π₯π₯
Tanzania sports HD
Highlights
@
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam