YANGA NI JAMII YETU.

Call Directions Website Contact the business

YANGA NI JAMII YETU. YANGA NI JAMII YETU.��
(2)

KARIBU KWENYE UKURASA RASMI WA YANGA NI JAMII YETU
MAHUSI KWA ⤵️🔰
USAJILI WA YANGA SC ✅
MATOKEO YA YANGA SC ✅
UCHAMBUZI ✅
tangaza biashara yako nasi +255762592296

Young Africans Sports Club.

Maandalizi ya kuwapa burudani Wananchi yanaendelea🔰💪🏽
01/10/2026

Maandalizi ya kuwapa burudani Wananchi yanaendelea🔰💪🏽


29/09/2026
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inaendelea kusubiri ushindi wa kwanza kwenye michuano ya kuwania kufuzu Kombe la ...
29/09/2026

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inaendelea kusubiri ushindi wa kwanza kwenye michuano ya kuwania kufuzu Kombe la Mataifa Afrika AFCON 2027 baada ya kutoshana nguvu kwa sare ya 1-1 dhidi ya Madagascar katika uwanja wa Stade d'honneur de Meknės, Morocco.

FT: Madagascar 🇲🇬 1-1 🇹🇿 Tanzania
⚽ 51' Fontaine
⚽ 39' Kachwele

YANGA NI JAMII YETU.

29/09/2026

1v1

Pumzika kwa amani mzee mpili
28/09/2026

Pumzika kwa amani mzee mpili

FT’ Tanzania🇹🇿 0️⃣-2️⃣🇬🇼 Guinea Bissau  Taifastars
25/09/2026

FT’ Tanzania🇹🇿 0️⃣-2️⃣🇬🇼 Guinea Bissau

Taifastars

🔥 KUFUZU AFCON 2027 Siku imefikaaaaaaaa.TAIFA STARS 🆚 GUINEA-BISSAUSafari ya Taifa Stars katika harakati za kufuzu AFCON...
25/09/2026

🔥 KUFUZU AFCON 2027 Siku imefikaaaaaaaa.

TAIFA STARS 🆚 GUINEA-BISSAU

Safari ya Taifa Stars katika harakati za kufuzu AFCON 2027 inaanzia dimba la Amaan, Zanzibar, ambapo Tanzania itakutana na Guinea-Bissau katika mchezo wa Kundi L.

📅 Ijumaa 25 Septemba
⏰ Saa 10:00 jioni

💚💛
25/09/2026

💚💛

  Fainali imekwisha… Mabingwa ni Sudan. AET: Sudan 1-1 Tanzania (Pen: 4-3)
24/09/2026

Fainali imekwisha… Mabingwa ni Sudan.

AET: Sudan 1-1 Tanzania (Pen: 4-3)

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YANGA NI JAMII YETU. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to YANGA NI JAMII YETU.:

Shortcuts

Share