Naipenda simba yangu

Naipenda simba yangu

Share

Official Account for Simba SC Tanzania Fans
Account maalumu kwaajili ya Mashabiki wa Kanda
ya Ziwa na Tanzania kwa ujumla.

Timu yetu, Maisha yetu na ndiyo furaha yetu 🦁. FIND All NEWS ABOUT SIMBA SC 🦁🦁
FOLLOW HEREπŸ‘‡πŸ‘‡

04/10/2025

Meneja wa boli.
Nini Maoni yako juu ya meneja wetu 🀷

Photos from Naipenda simba yangu's post 03/10/2025

Mwalimu wa mpira πŸ€—πŸ€—

29/09/2025

Wapinzani wetu wa hatua inayofata ya Ligi ya Mabingwa Afrika ni Nsingizini Hotspurs ya nchini Eswatini.
Una lipi la kushauri kipi kifanyike ili kuboresha timu yetu?🀷

29/09/2025

πŸ™‹β€β™‚οΈ Hatua moja mbele kwenda hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

24/09/2025

Safari ya Ligi Kuu 2025/26 tutaianza kesho.

Nasikia wapo nusu bhana 🀣🀣

22/09/2025

TAARIFA KWA UMMA.

19/09/2025

Tunarudi kimataifa. Kuna timu imejichanganya huku πŸ˜‚πŸ˜‚

Photos from Naipenda simba yangu's post 18/09/2025

Francistown πŸ‡§πŸ‡Ό

Photos from Naipenda simba yangu's post 17/09/2025

Timu ya Maisha yetu, Ndo furaha yetu watanzania inapoishi πŸ€—πŸ€—.

15/09/2025

Tunaanza na Ngao ya Jamii.

14/09/2025

Mtoko wa weekend πŸ€—.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Daresalam
Dar Es Salaam