10/11/2025
Utamu wa soka Tz
Taarifa na uchambuzi wa soka
10/11/2025
27/10/2025
17/06/2025
Mshambuliaji wa sporting SP Alejandro Gyokeres aikataa manchester united baada ya kuiona timu hiyo haina uelekeo mzuri katika michuano mbalimbali ikiwemo uefa champions league
Miamba hiyo iliyochini ya kocha Ruben Amorim haijajulikana wana agenda gani kwa msimu ujao ambao unamichuano mingi kwelikweli. Lakini arsenal wanaonekana kumnyatia nyota huyo japokuwasi rasmi kwamba Mikel Arteta anamtaka
01/09/2021
Mshambuliaji Paul Nonga(BabaParoko) amejiunga na klabu ya Mbeya City akitokea Gwambina iliyoshuka daraja .
01/09/2021
Mchezaji wa Leeds United na timu ya taifa ya Uingereza kiungo Kelvin Phillips amechukua tuzo ya mchezaji Bora kwa msimu wa mwaka 2020/21 wa timu ya taifa ya Uingereza kwa wanaume.
01/09/2021
Mchezaji Enock Jiha amejiunga na Mbeya Kwanza akitokea Ihefu ya huko Mbalari Mbeya .Mbeya Kwanza inaonekana kuzidi kujiimarisha kwa kufanya usajili wa wachezaji mbalimbali Ili kujiandaa na msimu mpya wa ligi
31/08/2021
Wachezaji wa nne wa Arsenal The Gunners wameripotiwa kuwa na mapenzi ya jinsia moja(Homosexual). Wachezaji hao ni pamoja na Martin Odeegard, Hector Bellerin,Alexander Lacazette na Nicholas Pepe.
31/08/2021
Beki kisiki wa kati wa Ujerumani Jerome Boateng 35 amejiujga na klabu ya Olympic Lyon k**a mchezaji huru baadae ya kumaliza mkataba na Bayern Munich ( The Bavarians)
31/08/2021
Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Sport Sp ya Ureno Nuno Mendes amejiunga na klabu ya Paris Saint German (The PERISIANS') kwa ada ya euro million 40. PSG wameongeza mchezaji huyo kuleta changamoto kwa Rainiel Kurzawa na Benat ambao wanaonekana kusuasua msimu huu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
9533
Dar Es Salaam