Amour Said Zaid

Amour Said Zaid

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Amour Said Zaid, Sport & recreation, Dar es Salaam.

Karibu kwa Habari za Hivi Punde, Pia Tunadizaini Logo/Nembo, Stika, Tunaedit Picha & Video, Kutengeneza Vitambulisho, Kuseti Akaunti za Mitandao ya Kijamii, N.K

22/09/2025

https://www.facebook.com/share/1B3jDXtqEP/

⏩Nasikia Kocha Mgunda yupo kwenye RATCO Tanga-Dar Muda Huu 🤣, Ebhana Wanalunyasi wameachwa Huko, Kocha Mkuu Fadlu Davids amewapa Senki Yuu Wanasimba na Kutangazwa Kuwa Kocha Mkuu wa Raja Athletic Club huku Akiwaacha Simba Midomo wazi, JE, YANGA NDIO SABABU YA HAYA YOYE⁉️🥴🫨

FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾






tanzania

16/09/2025

⏩Sema Ukweli, Acha Ushabiki, Kwa Upande wako Nani Amekuwa Nyota wa Mchezo wa Leo⁉️

FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾






tanzania

16/09/2025

⏩Kwani Nyie Mkizi-Scan jezi Sasa Hivi Mnaona Nini? Mi Naona Hivyo Vidude Vya Ubunifu, Sasa Wewe Onabisha Ulekuweepooo⁉️🥴🫨

FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾






tanzania

16/09/2025

⏩GSM Ameanza Kuharibu Ligi, Simba Wanazidi kuwa VIBONDE wa Yanga🫨, Full Time: Yanga 1-0 Simba, Pacome⚽

FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾






tanzania

16/09/2025

⏩Goooooooooal, Pacome anaweka Kamba kwa Wananchi Dhidi Simba.

FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾






tanzania

16/09/2025

⏩Ni Mapumziko, Bado ngoma Ngumu, Tukutane Kipindi cha Pili, Watatoa Hawatoi?

FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾






tanzania

16/09/2025

⏩Kikosi cha Leo cha Simba Sc dhidi ya Yanga, Mnasemaje Hapo🫨🥴

FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾






tanzania

16/09/2025

⏩Kikosi cha Leo Cha Yanga Dhidi ya Simba Sc, Mnasemaje Hapo🫨🥴

FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾






tanzania

16/09/2025

⏩Bado Dakika Chache Sana Watu Wapelekeane Moto kwenye Ngao ya Jamii 2025, Kuna Jitu Lazima Litapasuka Hapo🤣

FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾






tanzania

15/09/2025

⏩Singida Black Stars Wamebeba Ubingwa wa CECAFA Kwa Mara Yao Ya Kwanza Leo Hii baada ya Kuifunga Timu ya Al Hilal, Huku Mwamba wa Lusaka Clatous Chama Akifunga Magoli Yote Mawili ya Singida.

FT: Al Hilal 1-2 Singida BS

FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾






Photos from Amour Said Zaid's post 15/09/2025

⏩Mechi ya Kesho Yanga Dhidi ya Simba Mwamuzi wa Kati ni Ahmed Arajiga, MNASEMAJE🥴

FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾
FOLLOW👉🏾






tanzania

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam