02/10/2022
Wauaji wa manchester united, wakamweka maguire nje lakin wapi
Half time man city 4_0 man u
Taarifa kem kem za michezo kutoka pande zote za ulimwengu
02/10/2022
Wauaji wa manchester united, wakamweka maguire nje lakin wapi
Half time man city 4_0 man u
07/09/2022
FULL TIME SIMBA 2_2 KMC.....Mimi sio coach wala sio mchambuzi lakin Sidhani k**a coach alitakiwa kuweka washambuliaj wengi vile zaidi nilitamani kuona akiongeza ubunifu eneo la kiungo kumuweka mtu k**a NELSON OKWA nahisi ingekua bora zaidi kuliko maamuzi aliyoamua, but all in all full time SIMBA 2_2 KMC
06/09/2022
Klabu ya Simba leo Septemba 06, 2022 wamethibitisha kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi Zoran Maki.
Vilevile Simba wamefikia makubaliano ya kusitisha mkataba ya Kocha wa viungo
Bai Karim na Kocha wa makipa Mohammed Rachid.
newz
02/09/2022
π ππππ ππππ: Klabu ya Abha inayoshiriki ligi kuu Saudi Arabia imekamilisha usajili wa winga Luis Miquissone (27) raia wa Msumbiji kwa mkopo wa msimu mmoja kutoka Al Ahly SC.
newz
01/09/2022
π₯ Fiston Mayeleπ¨π© ameongeza mkataba wa miaka miwili kusalia Yanga mpaka 2024
31/08/2022
π tuisila kisinda is green π and yellow π yes ni mwananchi tena β½β½β½
31/08/2022
π tuisila kisinda is green πand yellow π yes ni mwananchi tena β½β½β½β½
30/08/2022
Antony Matheus dos Santos ni mchezaji wa Manchester United akitokea Ajax kwa mkataba wa miaka mitano wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi hadi 2028.
newz
26/08/2022
Anaitwa miguel escobar
_nationality:π¦π· argentina
-position: kiungo mshambuliaj
Rasmi ni mali ya SINGIDA BIG STARS ππ
25/08/2022
π: UEFA CHAMPIONS LEAGUE GROUPS...
chama lako liko kundi gani???? Jibu baki nalo β½β½β½
13/07/2022
π za ndaani mesut ozil Ozil ameachana na fernabache na sasa rasmi mesut ozil n free agent β½β½β½
13/07/2022
π fc barcelona wamethibitisha rasmi kuinasa saini ya mchezaji raphinha kutoka Leeds united kwa dau la $46M
Follow me on instagram as Haroun06_tz kwa taarifa kem kem za michezo