21/08/2021
𝗣𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗔𝗦𝗢𝗡🔰
Mapambano ya kujiandaa na msimu mpya yanazidi kushika kasi🔥🙌🏾
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yanga Mpya, Sports, Dar es Salaam.
21/08/2021
𝗣𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗔𝗦𝗢𝗡🔰
Mapambano ya kujiandaa na msimu mpya yanazidi kushika kasi🔥🙌🏾
KUELEKEA SIKU YA WANANCHI TAREHE 29/08/2021 PALE KWA MKAPA ...!
21/08/2021
Zanzibar tukutane jumapili ya kesho 22.08.2021 kwenye Uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi 2021 ndani ukumbi wa ya ZSSF kuanzia saa 2 asubuhi kwa matembezi ambayo yataanzia Kariakoo mpaka CCM kisiwandui.
21/08/2021
Kuelekea Uzinduzi wa wiki ya mwananchi kesho Zanzibar. Leo Viongozi wa Yanga wamekabidhi magodoro 30 ya chapa GSM kwa hospitali za Mwembeladu na Mnazi Mmoja Zanzibar.
Magodoro hayo yamepokelewa na Mhe. Riziki Pembe Juma Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi.
21/08/2021
SINGIDA 🚐 DODOMA 🚐 MOROGORO
Gari maalum la jezi linaendelea kuzunguka mikoani kwa bei punguzo, na leo ni zamu ya Singida, Dodoma na Morogoro, ambapo litapita kwenye maeneo tofauti k**a Isuna, Manyoni, Bahi, Dodoma Mjini, Mtumba, Gairo, Maguha, Dakawa na Morogoro Mjini, ukiliona gari letu lisimamishe tukuhudumie.
kwa mawasiliano zaidi piga au tuma sms namba 0713294178, 0715407549
Wahi ofa hii sasa.