Lpsports

Lpsports

Share

Our services; sports consultation, sports marketing, sports event, sports logistics and talent manage

10/12/2025

*_🥊 SAFARI YA FAKI “FIGHTER” YAISHIA 16 BORA UBINGWA WA DUNIA_*

_▫️ Apoteza kwa points dhidi ya Bibbosinov_
_▫️ Apishana na begi la hela_
_▫️ Ajivunia kuvunja rekodi ya miaka 51 ya Mlundwa_

📍 9 Desemba 2025 | Dubai – UAE

Safari ya bondia wa Timu ya Taifa ya Tanzania, maarudu k**a FARU WEUSI, Faru – Faki Issa Faki “Fighter”, imeishia katika hatua ya 16 bora ya Ubingwa wa Dunia baada ya kupoteza pambano lake kwa points dhidi ya Saken Bibbosinov wa Kazakhstan.

Faki mwenye umri wa miaka 22 alipambana kwa ushindani mkubwa dhidi ya Bibbosinov, bondia namba 7 kwa ubora duniani katika uzani wa kilo 54 Bantamweight. Bibbosinov anatokea Kazakhstan, moja ya mataifa makubwa na yenye kufanya vizuri sana katika mchezo wa ngumi duniani.

Licha ya kupoteza pambano hilo, Faki amepata heshima kubwa kwa kuvunja rekodi ya miaka 51 ya Tanzania kutoshinda pambano katika mashindano ya Ubingwa wa Dunia. Rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa tangu mwaka 1974, pale Emmanuel Mlundwa alipomshinda Alfredo Pereira wa Puerto Rico kwa points katika mashindano yaliyofanyika Havana, Cuba.

Hata hivyo, Faki amepishana kwa bahati mbaya na begi la hela la Tsh milioni 25 ambalo hutolewa kwa wanaofuzu hatua ya robo fainali, huku akiacha alama ya historia na matumaini mapya kwa ngumi za Tanzania.

_📸 Faki (jezi ya blue) na Bibbosinov (jezi nyekundu) wakati wa kumtangaza mshindi wa pambano lao katika Uwanja wa Tennis Dubai._

_*✍🏽 Mawasiliano – BFT*_

Photos from Lpsports's post 20/02/2025

Leo kulikua na zoezi la upi maji afya kwa mabondia watakao cheza katika pambano litakalo chezwa kesho ma eneo ya kawe round about ya maringo kuanzia saamoja jioni kwataarifa mbali mbali zakimichezo tembelea mitandao yetu yakijamii update zote utazipata hapa

Photos from Lpsports's post 12/04/2023

LP Sports had an opportunity and privilege to matchup Mwerangi vs Chirino on 18th March at Chihuahua Mexico. His exemplary performance and fan’s response was in his favor and crowned as a new King of Chihuahua. This has opened up doors for him and other talents from East Africa.

LP sports have finalized and paid Mwerengi as of 11th April.

As LP sports, tirelessly despite unfriendly and challenges we temporarily faced on this operation, we will make efforts to grow the sport of boxing in Tanzania by showcasing and offering opportunities by promoting boxers inside and outside of our country.

We thank you for the ongoing support to us and the boxing sport in Tanzania.

Lpsports .lp



Photos from Lpsports's post 21/03/2023

WELL DONE .585 for the Exemplary Performance in Mexico.

.hotels
lp






18/03/2023
Photos from Lpsports's post 18/03/2023
Photos from Lpsports's post 16/03/2023

Bondia Ally Mwerangi .585 ameshawasili Chihuahua Mexico 🇲🇽 kwa ajili ya pambano dhidi ya Mmexico Sergio Sanchez,
ameongozana na mkurugenzi wa Lpsports

Leo majira ya saa 9:15 kutakua na press conference itaruka mubashara kupitia facebook.

Shukrani za dhati kwa partners na stakeholders wa LP Sports.
Kila la kheri


hotels



Photos from Lpsports's post 15/03/2023

Lpsports "Agenda ya ndondi ni kutoa fursa na nafasi kwa waafrika na watanzania wenzetu kuonyesha vipaji vyao vya kuigwa na dunia kwa ujumla, Mtazamo wa ushirikiano wetu ambao tumeuunda, tunatazamia kujenga uwezo kupitia uzoefu, programu za mabadilishano, Kuendesha promosheni za ndondi, kutengeneza mechi na usimamizi wa vipaji.
Tunakutakia kila la kheri .585
Mexico, Sergio Chilino Tunakuja💪

Photos from Lpsports's post 13/03/2023

Bondia Ally Hamisi Mwerangi atasafiri kuelekea Chihuahua Mexico 🇲🇽 kupambana dhidi ya Mmexico Sergio Chirino Sanchez kwenye pambano la roundi 10 uzio usiopungua 127 Ibs. Pambano litakalofanyika tarehe 18 March 2023 katika ukumbi wa Gimnasio Manuel Bernardo Aguirre.

Shukrani za dhati kwa partners na stakeholders wa LP Sports.






Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Makangira 211
Dar Es Salaam