28/02/2017
MUNGU ibariki yanga!
MUNGU bariki wanayanga!
Like&post, kwenye ukurasa wetu kile unachokifaham au kukijua kuhusu michezo hususan yanga fc.....
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dar yanga African timu:, Sports Team, Dar es Salaam.
28/02/2017
MUNGU ibariki yanga!
MUNGU bariki wanayanga!
Like&post, kwenye ukurasa wetu kile unachokifaham au kukijua kuhusu michezo hususan yanga fc.....
28/02/2017
HABARI MTz!!!.
Furahia kuwa na kuishi na yanga leo!
28/02/2017
Neno la kuponya lilokosa mdomo, kwangu ni k**a somo na kwenu ndo wazo la leo;
I love yanga!!!,
Stokuhama yanga!!!,
Nitavumilia kuwa nawe yanga!!!,
Kwani! Kufungwa ni kawaida!!!,
Kwanin kila siku tufunge 2?!!,
13/02/2017
Jaman k**a unakumbuka siku hii aliyofikwa na kiama huyu jamaa , furahi na tuungane kufurahia ushindi wa jana kwa kuandaa chai yako mezan mapemaaa,,,,,,
12/02/2017
Like na comment yako itasaidia kujua una jumuika nasi kwa ushindi wetu,
Hii no baada ya raha kuzidi kwenye mchezo dhid ya ngaya
12/02/2017
MH!!!
Balaaaa marudia tena balaaa
Wanaosha kweli kweli,
Niliona noma hata kuingia fb kwa raha niliyoipata ila haina noma,
Leo tumewaweza,
K**a ww ni member wa yanga
Like and comment
12/02/2017
Hii n siku waliyotua vijana wetu huko....
12/02/2017
WAKIMATAIFA OYOOOOOO...
E bhana e, ule mchezo tuliousubir kwa hamu umefika ni leo hivyo fanya kulike na kucomment, kisha majira ya alasir ujisogeze kwa runinga yako,.
""Patamu hapo""
Naitakia yanga ushindi mnono leo.
Asubuh njema
08/02/2017
Kamwe! Hakuna ukikwama tutakuinuaaa!!!!!
08/02/2017
Ubingwa wetu mwaka huu hivyo tujiandae kufurahia