Ajira Kiganjani

Ajira Kiganjani

Share

Nawasaidia Vijana wa Kitanzania Kufikia Ndoto Zao Kubwa Kupitia Biashara ya Mtandao

22/04/2024

πŸŽ‰ Mbinu Za Kuanzisha Biashara Mtandaoni 2024!πŸŽ‰

Je, wewe ni mchapakazi, mwenye bidii, na unatamani kuanzisha biashara yenye kuingiza faida ya Million 2 kwa mwezi kupitia mtandao wa intaneti? Hii ni fursa yako ya kipekee!

🎯 Umealikwa kushiriki katika Challenge ya Siku 90 ya Kuanzisha Biashara ya Mamilioni! 🎯

Challenge Itaanza Tarehe 1 May 2024! πŸ“…

Je, unatafuta njia ya kuanzisha biashara yenye mafanikio mkondoni? Hii ni fursa adimu ya kufanya ndoto zako ziwe kweli!

Tutakupa mafunzo, zana, na mwongozo wa hatua kwa hatua jinsi ya kuanzisha biashara mkondoni inayolipa kiasi cha Million 2 au zaidi kwa mwezi!

Fikiria uhuru wa kifedha na maisha yenye furaha yanayotokana na kumiliki biashara yako mwenyewe! Tunaweza kufanikisha hilo pamoja!

πŸ† Nafasi Zilizobakia Ni Chache Sana! Kuwahi Sasa! πŸ†

Tuma ujumbe wa neno "Challenge" kwenda namba 0763 931 362 na jiunge na sisi leo! Hakuna wakati wa kupoteza - fanya hatua ya kwanza kuelekea mafanikio ya biashara yako sasa!

🌟 Washindi Wa Challenge Watakuwa Na Nafasi ya Kushikwa Mkono Mwaka Mzima! 🌟

πŸš€ Kujiunga Ni BURE Kabisa Lakini Kuwa Tayari Kufanya Kazi Kwa Bidii! πŸš€

🌈 Hakuna Kinachopita Kushiriki Kwako Leo! Jiunge Nasi Sasa Na Anza Safari Yako Kuelekea Mafanikio! πŸ’ΌπŸ’°

13/03/2023
02/02/2023

Zifahamu Kanuni Hizi Tano Za Pesa.

Maana ni Leo Nitaanza Rasmi Kuziishi Kufuga Utajiri Wangu.

Naamini na kwako Zitakufaa Tumalize 2023 kwa Tabasamu La Mafanikio Ya Kifedha.

Kanuni Hizo Ni:-

1. Pesa ni matokeo ya kufanya kitu ambacho watu wako tayari kukulipa kwani kinawapa manufaa.

Kwa kifupi ni Pesa ni matokeo ya kutatua changamoto zinazowafanya wawe tayari Kukulipa.

2. Pesa huongezeka kwa mtu anayetafutia pesa yake kazi ili imletee faida k**a mifugo.

Ifanye pesa iwe mtumwa wako anayekupa faida.

3. Pesa huenda kwa wanaoamini kuwa pesa zipo kwa ajili yao.

Nguvu ya Mvuto, k**a hauamini ni kwa ajili yako haiji kwako

" money like attention"

4. Pesa humkimbia mtu anayewekeza pesa sehemu kwa lengo la kupata faida kubwa

..bila kufuata ushauri wa wataalamu

kwa kufuata ushauri wa wajanja na walowezi au kwa kuwekeza sehemu asiyo na ujuzi nayo.

Wazee wa Madeal na Bet πŸ€”

5. Pesa Huongezeka, humganda na kumlinda mtu anayewekeza kwa kuzingati ushauri na hekima za wataalamu.

Leo naanza safari ya kufuata sheria Hizi kwa safari ya Miaka 5.

Nitapost hapa mafunzo nayopitia katika maisha haya.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam