07/10/2020
Yaaaahhh....
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shira Nawe sport, Sports Event, Dar es Salaam.
07/10/2020
Yaaaahhh....
08/08/2020
Leo
03/06/2020
Jumatano hii ndani ya Sports Arena π ya tutakuwa na Mkurugenzi wa uwekezaji wa GSM Eng. Hersi Said ambaye atazungumzia masuala mbalimbali ikiwemo mabadiliko ndani ya Yanga,mikakati ya usajili wa nyota wazito wa kigeni watakaojiunga na Yanga msimu ujao wa ligi kuu bara 2020/21.
Pamoja na hayo utakuwa na nafasi ya kupiga simu na kumuuliza swali lolote na atakujibu papo hapo.
Ni kuanzia saa 2:30 asbh hadi saa 5:00 π kupitia 88.9 na pia tutakuwa live kupitia YouTube channel yetu ya WASAFI MEDIA usikose.
27/05/2020
Jumaatano
26/05/2020
imeripotiwa Juventus wanampango wakutoa ofa ya 100M: kwa PSG ilikupat saini ya Neymar jr dirisha kubwa la usajiri .... Source:sport bc
26/05/2020
Jumanne
26/05/2020
Top scorer German ....jee tanzani kuna mchezaji atafika hay magori
26/05/2020
Amesema hafisa habari wa yanga Hassan bumbuliππππleo wachezaji wot wa yanga watapimw afy na madaktar wa timu kushilikian na madaktar kutoka mwimbili na watakaa kikao ili kujadili watumie mashindan ya fA ilikuweza kushiriki mashindan ya kimataifa msim ujao. Na kikos cha yang kitakua chini ya koch Boniface mkwasa
25/05/2020
Tayar amewasirii
25/05/2020
Amesema mwanyeto ππππHataki kucheza klabu ya yanga inaaman kuna timu mwenyewe ameiyona ambayo anahisi akicheza atajisikia furaha_______.....kutoka kwa uongozi wa COSTAL UNION. YA TANGA
25/05/2020
Kauli ya hersi mkurugenz wa usajil GSMππ yanga tutasajiri wachezaji ambao nimapendekez ya kocha Lucy eymael nakam wakishidw kufanya vizur basi kocha au mchezaji atakuw na kesi ya kujitetea