Mtupa sports news

Mtupa sports news

Share

Taarifa za michezo na uchambuzi
#African#Europeanleague
Rajab #localmchambuzi

05/10/2022

🙄🙄 ht;

Photos from Mtupa sports news's post 02/10/2022

Double Hat trick

Foden⚽️⚽️⚽️ X Haaland ⚽️⚽️⚽️
Ft. City 6 - 3 United

Mbali na kuendelea kuruhusu magoli kipindi cha pili,lakini ugonjwa niliouona kipindi cha kwanza Ten Hag pia aliuona akautibu.

Kupunguza Fullback moja yenye njano na kuingia kwa Shaw ilisaidia kidogo, Shaw hakuwa muoga kugusana na wachezaji wa City tofauti na ilivyouwa kwa Malacia 1st half.
Pia Sub za eneo la kiungo fred X Casemiro ilikuja kuleta utulivu kiasi kipindi cha pili na kwa kiasi United ilionekana kucheza eneo la kati ya kiwanja na kuwapa matokeo chanya.

Bila shaka wachezaji wote wa City waliingia uwanjani wakijua silaha ya United ni counter attacks, hilo liliwasaidia kutegua mitego yote ya United walipowaza kupiga mipara mirefu walishtuka mapema na ku intercept wao.

Unapocheza na City hakikisha wachezaji wako ni wazuri kukaa na mpira na wenye maamuzi ya haraka, pressing ya City ndio silaha kila wanapoingia uwanjani, wasipokuwa na mpira kuwa makini zaidi kuliko wakiwa nao wao,

NB. Kwanza mumshukuru Guardiola kwa Sub za hauweni,Zile Sub nne ziliingia na score board bila kuwaza kuwa mpira haujaisha na wao wakaendeleze kilichoanzishwa na wenzao.
Pili;
HAKUNA NJIA PEKEE NA RAHISI YA KUMFANYA HAALAND ASIFUNGE ILA NI KUHAKIKISHA KWANZA KUMZUIA MPIGA PASI ASIPIGE,AU BASI KUIWAHI PASI ISIMFIKIE BASI,OTHERWISE HISTORY WILL MADE,KWASABAB HAALAND NI RUNNER UKIMCHUNGULIA KUSHOTO ANAENDA KUSHANGILIA KULIA,
STOP PASSER,OR STOP PASS TO REACH HIM,RATHER THAN DEFENDING HIM

Mechi 8
Goals ⚽️14
Assist 3

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Chamazi
Dar Es Salaam