01/08/2025
📰 Habari ya Michezo
Liverpool, Uingereza – Klabu ya Liverpool imeanza mazungumzo rasmi na Newcastle United kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Uswidi, Alexander Isak.
Kwa mujibu wa taarifa za , Liverpool tayari wamewasilisha ofa ya awali, lakini Newcastle wameikataa. Hata hivyo, Isak ameeleza wazi dhamira yake ya kutaka kujiunga na The Reds.
Kwa sasa hakuna mazungumzo mapya juu ya mkataba mpya kati ya Isak na Newcastle, huku Liverpool wakipanga kurudi na ofa nyingine hivi karibuni.
28/09/2024
Manchester City anaangusha tena point 2 dhidi ya Newcastle ugenini
Goli la Newcastle likifungwa na Gordon penalty
Goli la Man city likifungwa na Gvardiol
Matokeo haya ni mazuri kwa Liverpoolfc, Aston Villa pamoja na Arsenal wakiwa bado wanamchezo mmoja utakao chezwa leo
Ikiwa Liverpoolfc atashinda atakuwa na 15
ikiwa Aston Villa atashinda atakuwa na 15
ikiwa Arsenal akishinda atakuwa na 15 akipata zaidi ya goli D 3 basi atakuwa juu ya City
Matokeo yakiwa mazuri leo Manchester City atanweza kushika nafasi ya 2 au 3
27/09/2024
Nahodha wa Ajax Jordan Henderson alilazimika kutolewa nje baada ya kugombana vikali na mchezaji mwenzake Bertrand Traore 😡 Muingereza huyo ni wazi hakufurahishwa na jambo licha ya timu yake kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Besiktas 😬
26/09/2024
16 Bora Carabao Cup
🔹️Tottenham ⚔️ Man City
🔹️Preston North ⚔️ Arsenal
🔹️Brighton ⚔️ Liverpool FC
🔹️Southampton ⚔️ Stoke City
🔹️Man United ⚔️ Leicester City
🔹️Aston Villa ⚔️ Crystal Palace
🔹️Brentford ⚔️ Sheffield Wednesday
🔹️Newcastle United/Wimbledon ⚔️ Chelsea FC
Nani atasonga kwenye 8 bora ?
09/08/2024
⚪️ Dominic Solanke kwenda Tottenham, sasa hivi! Ofa iliyokubaliwa kwa nyongeza za kifurushi cha £65m imejumuishwa, ada ya rekodi.
Solanke alipanga kusafiri kwa matibabu baada ya mkataba hadi Juni 2030 ✍🏻
25/07/2024
🚨 Kevin De Bruyne anatazamiwa kusalia Manchester City na kukataa ofa ya pauni milioni 1 kwa wiki kujiunga na Al Ittihad ya Saudi Arabia.
(Chanzo: )
10/07/2024
🚨⚪️ Real Madrid imethibitisha kuwa itamtambulisha Kylian Mbappé k**a mchezaji mpya aliyesajiliwa Jumanne, Julai 16 — 12pm CET. Uwanja wa Santiago Bernabéu. ✨
10/07/2024
John Becco ajiunga na JKT TANZANIA
Ladies and Gentlemen muda wa magoli kipa wa wapinzani kukaa roho juu umefika
THE TOP SCORER OF ALL TIME🔝
JOHN RAPHAEL BOCCO IS HERE💪
08/01/2024
Sadio Mane aliamua kuboresha maisha ya familia yake kwanza na ya Kijiji chake. Baada ya kuiinua familia yake kiuchumi, alijenga shule, Misikiti, Hospitali na Uwanja kwa ajili ya kijiji chake. Siku ya jana akaamua kufunga ndoa..
11/12/2023
Kumbe Aston Villa walianza na michezo mibaya
poleni ndugu zangu wa Arsenal 😂
30/10/2023
Vinicius Jr wa Real Madrid ameshinda tuzo ya Socrates ambayo inatolewa kwa Mchezaji mwenye mchango kwa jamii. Vinicius amekuwa akisadia Watoto Masikini kupata elimu na kutimiza ndoto zao. Hakika ni jambo la Kumpongeza.