YANGA YETU SOTE

YANGA YETU SOTE

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from YANGA YETU SOTE, Sports, 0620552291, Dar es Salaam.

Photos from YANGA YETU SOTE's post 24/08/2021
24/08/2021
Photos from YANGA YETU SOTE's post 27/10/2020

Hahhaaahaaaa

ule msemo wa kikosi kipana bado upo

Photos from YANGA YETU SOTE's post 23/10/2020

show

Photos from YANGA YETU SOTE's post 21/10/2020

Kesho inshallah

12/07/2020

za ndani kabixa za club bosi jana mazoezini kaxema save 1 sh.Laki 2 shot on target sh.Laki 4 shot off target sh.Laki 2 pasi ya pasi ya assit ya goli sh.Laki 2.5 assit ya goli sh.Laki 5 goli lenyewe sh.Milioni 1.Kocha na benchi lake la ufundi goli kipindi cha kwanza sh.Milioni 10 kwa kila goli na kipindi cha pili sh.Milioni 20 kwa kila goli.Zawadi ya ushindi kwa timu yote milioni 800.Mashabiki bora kumi wa game watapata jezi kit ya home na away na sh.Laki 2 kila mmoja wahiuwanjani ukiwa nadhifu na jezi ya chapa brand gsm na balakoa ya njano ,kijani au nyeuxi uje upate burudani.

12/07/2020

yamebaki takribani masaa kadhaa wanaume 22 kuingia uwanjani kwenda kuamua matokeo.
Simba wakiamua kutumia viungo 2 mbele chama na luis wakaweza wakaleta madhara makubwa x**a kwa upande wa kushoto wa yanga kwasababu jafary cjui k**a ameamka na mood na john anaweza akawapa tabu lamine na makapu k**a akijiamin katika box.

12/07/2020

kaseke na mrisho hawatajwi x**a ila wanaweza wakaamua matokeo m mxemaji tu watekelezaji wao.

12/07/2020

na mabadiliko yenyewe yanaendelea hadi leo uwanjani fei na haruna wanaramani yetu.

12/07/2020

Wananchi tunajambo letu hakuna wa kutuzuia kwahy waambie kuwa wanapambwa zaidi yetu ila tutapendeza zaidi yao.

NA BADO NIPO KWENYE MCHAKATO WA MABADILIKO KWAHIYO WANANCHI MSIWE WAPWEKE

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


0620552291
Dar Es Salaam
12345