πMWASONGA CENTER (Mtaa wa Ngome mapinduzi)
π DISTANCE/UMBALI
- KM 1.8 kutoka barabarani
π PLOT SIZE / UKUBWA WA VIWANJA
- Vinaanzia SQM 400 na zaidi
π BEI / PRICE
- Bei ni TSh 7000/= tu kwa SQM
(Mita mraba)
πMFUMO WA MALIPO
- Anza na malipo ya TSh 1,000,000/= tu kisha kiasi kinacho salia kitalipwa kidogo kidogo kwa MWAKA MZIMA / MIEZI 12β
MFANO: πβ
NB: Kwa kiwanja cha mita za maraba 400 (20m kwa 20m) bei yake ni TSh 2,800,000/= hivyo mteja atalipia kwanza TSh 1,000,000/= K**a malipo ya awali kisha kiasi kinacho baki atagawa wa miezi 12 yaan 1,800,000/ 12 ili upate kiasi halisi cha kulipia kila mwezi . Ambayo itakuwa ni TSh 150,000/= TU! kila mwezi baada ya hapo utakuwa umekamilisha malipo yako yote na kukabidhiwa kiwanja chako na hati yako k**a mmiliki halali wa kiwanja / Viwanja hivyo.
OFISI ZETU ZIPO KIGAMBONI MJI MWEMA (SKANSIKA - STREET)
TUPIGIE πβοΈπ
0674741695, 0767358229
Viwanja_dar_na_pwani Wauzaji wa Viwanja vya vilivyo pimwa na vya uhakika kwa maeneo yote ya Dar na Pwani
08/05/2023