08/06/2022
Vijana tabora
Official page of Tabora Vijana Football Fc
08/06/2022
Vijana tabora
05/06/2022
Changia timu yako pendwa ya vijana tabora kufanikisha ndoto za vijana.
.kahula.1 .abdallah.771
05/06/2022
Tunaitaka hatua nyingine ya mashindano tuna kikosi bora na tunaamini tunapita kwa uwezo wa MUNGU.
DRFA] DRFA]
31/05/2022
Baadhi ya viongozi walihudhuria mchezo wetu dhidi stamina.
31/05/2022
Hatimae wametuachia point 3 zetu kituo kinachofuata .................... mjiandae vijana tunakuja
.kombo.9465 @
30/05/2022
Mazoezi ya mwisho ya kujiandaa na mchezo wetu wa kesho dhidi ya stamina fc
Vijana wana hali nzuri na wapo tayari kwa mchezo
29/05/2022
Mchezaji bora wa mashindano ya ndondo cup kwa timu yetu katika mechi zote mbili