George Ambangile

George Ambangile

Share

󱒏 Kwa Uchambuzi SUBSCRIBE YouTube link hapo chini

https://www.youtube.com/channel/UCsvfVjuhhTHCAr

07/05/2026

MAKOCHA WALIOCHEZA FAINALI NYINGI CLUB BINGWA ULAYA.

23/04/2026

Comments ziwe fupifupi. Arsenal Bingwa. 🀣


22/04/2026

🚨 𝗕π—₯π—˜π—”π—žπ—œπ—‘π—š: Chelsea FC imethibitisha kumfuta kazi kocha wake mkuu Liam Rosenior kutokana na mwenendo mbaya. πŸ‘‹.

12/04/2026

CITY BINGWA.

City 2-1 arsenal
City3-0crystal palace
City3-0burnley
City2-1everton
City2-1burnley
City2-0bournmouth
City2-1aston villa

29/03/2026

Msiseme hamkuambiwa. 🀣 🀣

24/03/2026

πŸŽ™ " Kuamua kuondoka si jambo rahisi, Ulikuwa wakati mzuri zaidi katika maisha yangu Daima Liverpool itakuwa nyumbani kwangu mimi na Familia yangu, Nitakuwa mmoja wenu siku zote za maisha .

" Asante kwa kila kitu Daima sitawahi kutembea Pekee Yangu"πŸ‡ͺπŸ‡¬β€οΈ

πŸ—£ Mohamed Salah:

24/03/2026

.

Mohammed Salah ametangaza kwamba anaondoka Liverpool mwishoni mwa msimu huu .!

Salah ameitumikia Liverpool kwa muda wa miaka 9 akitua Anfield mwaka 2017 akitokea AS Roma ya nchini Italia kwa pauni milioni 36

Katika umri wa miaka 33 anafunga pazia la Anfield

435 games
255 goals
119 assists

Liverpool wanatajwa kumuwinda winga ww Bayern Munich Michael Olise kuwa mrithi wa Salah .!

24/03/2026

Katika kipindi ambacho soko la viungo linaenda kuwa kubwa basi ni katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi yanayokuja 2026 . Viungo wapo wengi , umri mzuri , wenye sifa tofauti tofauti lakini pia bila kusahau bei zao lazima zitakuwa zimechangamka sana

1: Bruno Guimaraes - Newcastle United

2: Sandro Tonali - Newcastle United

3: Elliot Anderson - Notts Forest

4: Adam Wharton - Palace

5: Carlos Baleba - Brighton

6: Matheus Fernandes - West Ham

7: Joao Gomes - Wolves

8: Manuel Locatelli - Juventus

9: Pablo Barrios - Atletico Madrid

10: Manu Kone - AS Roma

11: Eduardo Camavinga - Real Madrid

12: Lamine Camara - Monaco

13: Exequiel Palacios - Leverkusen

14: Felix Nmecha - Dortmund

15: Lucien Agoume - Sevilla

16: Angelo Stiller - Stuttgart

17: Aleksandar Stanković - Club Brugge

18: Ederson - Atalanta

Hao ni wale viungo wa kati kabisa achana na wale shilingi 10 hapo ni mseto wa shilingi 6 na 8 .!

HELA YAKO TU HAPO NA MAHITAJI YAKO NA MCHEZAJI AKUBALI KUJA KWAKOπŸ˜€πŸ˜€

Kuna ambaye amesahaulika hapo ?

04/03/2026

Arne Slot

02/03/2026

🚨🚨 Cole Palmer amefunga mabao 3 pekee ya Premier League ambayo sio ya penalty ndani ya miezi 14 iliyopita. 😲

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam