Michezo Duniani

Michezo Duniani

Share

habari za michezo na burudani kila siku follow me the Instagram @candrevajunior21

24/08/2025

Duuuh🥺🥺🥺

Huyu straika mbona k**a wamepigwa Hawa United.

24/08/2025
24/08/2025

Ibenge apata ushindi wake wa kwanza tangu ajiunge timu ya Azam Football club k**a kocha mkuu wa kikosi hiko

Win - 1
Draw -1
Lose -1

24/08/2025

CUTT OF THE ELECTRICITY

Anaitwa Lucas Torro huyu ndio kiungo anaenivutia zaidi kwasasa katika La Liga 🇪🇸
Ana Kila kitu ambacho anastahili kuwa nacho namba sita kwenye mpira wa miguu..
Ana umri wa Miaka 31 lakini k**a mtoto wa 2000 anavosaga.

24/08/2025

Kwa Club Atlético Osasuna – Nimetambuliwa sasa hivi k**a mmoja wa mashabiki wake bora!

24/08/2025

Hivi wadau bei halisi ya hii kit ni 4,500 au 45,000?

23/08/2025

Duuuuh..!

Unamuacha LADACK Chasambi
Unamuacha OFFEN Chikola
Unamuacha Kelvin Nashona

Kwa timu Ile ya majungu tume deserve kuishia tulipoishia

Photos from Michezo Duniani's post 20/08/2025

Axel witsel akitambulishwa na Girona k**a mchezaji wao mpya

20/08/2025

Hili

Forza Stars

20/08/2025

Taarifa kwa Uma

20/08/2025

"Mimi Ninaona Damarro Mohammed Camara ndie alipaswa kuwa replacement ya Jinja Maestro na sio M***a"

junior
Mchambuzi wa soka

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Magomeni
Dar Es Salaam