Jacob Yamo

Jacob Yamo nampenda yesu kwa uweza wake kwangu sitakuacha Daima milele Utukuzwe Bwana Yesu ndani yangu daima uniongoze

17/09/2022

Usiende kwa sababu wengine wanakwenda zao chagua njia sahii

Mungu uturehemu
31/12/2021

Mungu uturehemu

31/12/2021

Hajakupa ili huonekane bora kuliko wengine

Nakutakia 2022 ya Amani ya Yesu ndani yako

06/11/2021

Hakuna kisicho na gharama weekend njema kwenu

06/11/2021

Tena mmesikia watu wa kale walivyoambiwa Usiape u on go ila mtimizie Bwana nyapo zako

MATHAYO 5:33

06/11/2021

Heri wapatanishi Maana hao wataitwa wana wa Mungu

26/10/2021

UTATUMIA NGUVU NYINGI KUTAKA KUONEKANA BORA KULIKO FULANI LAKINI KWA SABABU SIO UHALISIA WAKO NI KWA MUDA UTAKAOKUUMBUA

26/10/2021

Utatumia nguvu nyingi kutaka kuonekana bora kuliko Fulani lakini kwa sababu sio Uhalisia wako ni muda tu Utakaokuumbua

22/10/2021

Hivi umewahi kujiuliza kuhusu wanao kusifia?

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jacob Yamo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category