09/04/2023
happy birthday๐ Toto ya Tariq ๐
TAWI LA YANGA WHATSAPP GROUP ADMINS ( YWGA )๐๐
09/04/2023
happy birthday๐ Toto ya Tariq ๐
09/04/2023
Happy birthday๐
Tariq Rufe Jr.....Mwanachama wa enjoy your day Toto yetu๐๐๐ค
08/04/2023
MATCH DAY
07/04/2023
๐๐๐๐
04/04/2023
12/02/2023
Mambo yamepamba motoooooo
Hukuuuuu
๐๐๐
12/02/2023
Leo ndo siku yetu ya kukutana pamoja na kuyajenga mambo yetu kwa maendeleo ya tawi letu na club yetu kw ujuml
16/01/2023
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
15/01/2023
15/01/2023
SAVE DATE MWANACHAMA WA TAWI
14/01/2023
Thank you .songne
14/01/2023
โโ
Mambo 10 usioyajua, Usajili wa Musonda
1: Musonda ni Top Scorer wa Ligi ya Zambia. Mechi 17, Mabao 11. Ni mshambuliaji kinara wa Power Dynamos, ambayo inaongoza Ligi.
2: Power Dynamos ni klabu imara kiuchumi. Inadhaminiwa na kampuni moja kubwa ya kufua umeme pale Zambia. Ni msimu huu wamedhamiria kumaliza ukame wao wa mataji wa miaka 12. Kwanini wamefanya Deal kubwa hivi na Yanga?
3: Sifa ziende kwanza kwa Rais Eng Hersi Said ๐ Kwanini? Kwanza, elewa kuwa TP Mazembe pia waliingia kwenye vita hii. Wanataka kuimarisha kikosi chao kwa ajili ya michuano ya Kimataifa, waliweka dau kubwa pia mezani.
4: Lakini Musonda โoptionโ yake ilikuwa Yanga. Kwanini? Wakati Mazembe wakiwasiliana kwa Email, Rais Hersi aliacha usingizi wake na kutafuta ndege usiku na kutua Kitwe, mazungumzo na Dynmos yakawa uso kwa uso. Bao la kwanza likaanzia hapo.
5: Nguvu ya ushawishi, nguvu ya Hela kwenye meza ya mazungumzo ikawa silaha kubwa kwa mbele ya Dynamos na kukubali kumuuza mshambuliaji wao hatari.
6: Kuipiku Mazembe kwenye Usajili, ambao ni wapo kundi moja na Yanga kwenye kombe la shirikisho la CAF, Ni ishara ya Uongozi wa Yanga kumaster sanaa ya Soka la Afrika kuanzia nje ya uwanja.
7: Nini kimemfanya Musonda aikubali Yanga na sio Mazembe? Mradi wa Yanga ni mkubwa, na bila shaka kila mchezaji mkubwa angetamani kuwa sehemu ya mradi huu mkubwa.
8: Kumbuka, Musonda ameacha ndoto zake za kubeba kiatu cha ufungaji bora Zambia na kuja Yanga, sio jambo dogo kwa mchezaji kulifanya hili. Kuna kazi kubwa imefanywa na Rais wa Yanga๐
9: Kitendo cha Yanga kuingia kwenye vita ya usajili ya vigogo wa Afrika ni ushindi pia kwa Ligi yetu ya Tanzania. Hersi ameiheshimiwa Ligi yetu na kuipa thamani kubwa. Hii deals itakuwa imefanya mawakala na wachezaji wengi wakubwa wajiulize kuna nguvu gani Tanzania.
10: Mashabiki wa Dynamos hawajaelewa ni nini kimetokea. Waandishi na mitandao ya Zambia imejadili kwa mshangao usajili huu. How is it Possible? Hawaamini k**a Dynamos wameuza silaha yao kwa Yanga. Wakati wao wakishangaa, Wananchi wanafuraha ๐คฉ
Nb: Zurureni tu, Ihefu ๐๐ญ๐๐ฐ๐๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ๐ฅ๐ข๐๐