18/04/2023
Ikiwa yamebaki masaa machache mechi ya marudiano baina ya Real Madrid na Chelsea Fc katisha mechi ya mabingwa wa ulaya yajulikanayo UEFA CHAMPIONS LEAGUE hivi Leo tarehe 18 April 2023 timu ya Real Madrid imetoa list ya kikosi chao kitakacho cheza na wapinzani wao Chelsea Fc hapo London katika uwanja wa Chelsea ujulikanao Stamford Bridge