World football sports

World football sports

Share

Kuhusu habari za michezo na burudani ndani ya world football sports kila siku habari za uhakika na z

23/06/2023

Hii nchi Ina vijana wa hovyo Sana asee 😅😄

12/06/2023

TETESI

Azam wapo tayar kukamilisha usajili wa winga wa zamani wa Simba Luis miqusone
Uongozi wa klabu hyo ya matajiri wa mikate Azam wanahaha kuimarisha kikosi chao msimu ujao ili kutwaa ubingwa wa ligi kuu bara

12/06/2023

Kaa mkao wa kula tembelea ukurasa wetu wa World football sports kuanzia Leo tunataja majina ya wachezaji wanaotajwa kusajiliwa Simba yanga na Azam like share

19/04/2022

Victorian Adebayour kutua yanga

Uongozi wa Young Africa umafanikiwa kuinasa saini ya mshambuliaji wa US gendmarie baada ya kumalizna na uongozi wa timu ya Christi's fc ya Denmark
Senzo mbatha mazingisa ndo alimaliza dili Hilo

31/10/2021

Yanga wanaupiga mwing Sana

25/09/2021

Kuelekea deby ya kariakoo Simba na yanga nitatoa zawadi ya mshindi atakaye tabiri mfungaji wa goli sh 10000

Ili kupata habari za michezo na burdani fuata ukurasa wetu mechi hii tutatitangaza moja kwa moja katika ukurasa wetu na taratibu zote endapo zitakamilia Basi utaushuhudia kupitia simu yako ya mkononi katika ukurasa wetu ni World football sports

21/09/2021

Mambo ni mazito
Kionjo kidogo

Karibu katika page yetu upate habari zote za michezo na burdani

19/09/2021

Daima Young Africans Sports Club tupo pamoja leo na tunawaunga mkono muweze kushinda Leo ili msogee mbele

SIMBA SC 1936 tupo pamoja leo kuwatakia Simba day

Ili kupata habari za michezo na burdani like na sheare

19/09/2021

Kiungo wa Timu ya Young Africans Sports Club Feisal salum - FEI Feisal salum - FEI TOTO.Feisal salum - FEI TOTO. Amewahakikishia mashabiki wa Timu hiyo ya yanga kwamba wamejiandaa vya kutosha kuhakikisha wanaibuka na ushindi mnono hapo kesho nchini Nigeria dhidi ya River United ya nchini humo
Hata hivo young Africans wanakumbukumbu ya kupoteza mchezo wa awali uliopigwa katika dimba la mkapa na kukubali kichapo Cha goli moja kwa sifuri lililokwamishwa wavuni na mshambuliaji hatari Moses omudumuke

Karibu kutangaza biashara yako kupitia ukurasa huu namba ya simu 0714651329 malipo ni Bei rshisi tu

18/09/2021

Semaji la dunia limesema yanga tutashinda Sasa Mimi Nan nibishe??? Tuiombee timu yetu kutoka Tanzania yanga Africans ishinde huko Nigeria kwa kishindo ili iliwakilishe taifa vyema

Photos from World football sports's post 18/09/2021

Bwalya kuwa UTI wa mgongo Simba
Unaambiwa uongozi wa Simba umempa majukum mazito kiungo hatari kutoka Zambia Rally Bwalya ya kuhakikisha yeye ndo anajua hakimu wa timu inapokua uwanjani
Rally Bwalya amepewa majukumu hayo kufuatia kuondoka kwa kiungo hatari kutoka Zambia Clatous Chama Rally bwalya Ana sifa ya kucheza juu lakin pia kuichezesha timu

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Abidinirhasani@gmail. Com
Dar Es Salaam