15/08/2025
Fahamu Spoti
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fahamu Spoti, Sports, Dar es Salaam.
15/08/2025
17/08/2023
ANATAKA BALLON d'Or huyu MWAMBA
Kupanga ni machaguzi yako usemi wa wana wengi mtaani na umezoeleka sana kila kona ya mitaa.
Kwa sisi wana kabumbu inawezekana huyu bwana mdogo Julian Alvarez anavigezo vyote vya kuwa mshindani wa tuzo hii kubwa ulimwenguni.
Nakaribisha mjadala na kukosolewa, Alvarez ameshinda mataji matano hata mwaka hajamaliza.๐ท๏ธ๐ฆ๐ท
๐ UEFA Super Cup
๐ Champions League
๐ FA Cup
๐ Premier League
๐ World Cup
02/07/2023
MWAGA PESA UPATE KILICHO BORA
๐Hawa ndio viungo wenye thamani zaidi duniani kwa sasa.
1โฃ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟJude Bellingham โฌ120
2โฃ๐ฉ๐ช Jamal Musiala โฌ110
3โฃ๐ช๐ธ Pedri โฌ100
4โฃ๐บ๐พ Federico Valverde โฌ100
5โฃ๐ช๐ธ Gavi โฌ90
6โฃ๐ด๓ง๓ข๓ฅ๓ฎ๓ง๓ฟ Declan Rice โฌ90
7โฃ๐ณ๐ด Martin รdegaard โฌ90
8โฃ๐ช๐ธ Rodri โฌ90
9โฃ๐ฉ๐ช Florian Wirtz โฌ85
๐๐ซ๐ท Eduardo Camavinga: โฌ85
21/02/2023
K**A HUWEZI kufika KWENYE NYOTA basi KARIBIA MBINGUNI.
Nakumbuka enzi zile wakati Xavi anacheza ile Barca dume , the likes of Lionel Messi,ย Andres Iniesta,ย Pedro, Dani Alves , Puyol , Pique nk. Hiyo timu katika dimba la Camp Nou lilikuwa machinjio hasa mwiko kupata matokeo mfululizo yaani wewe mgeni upate mataokeo mfululizo ahhh wapi , kwa kuwa miaka inakwenda vizazi vinabadilika mambo yamekuwa tofauti hasa kipindi hiki ambacho Xavi yupo k**a meneja yeye amekuwa na bahati mbaya katika michuano ya ulaya hasa kwenye dimba la Camp Nou.
Rekodi mbovu za Xavi Camp Nou
๐ค 0-0 vs. Benfica
๐ค 1-1 vs. Napoli
๐ค 0-0 vs. Galatasaray
โ 2-3 vs. Eintracht Frankfurt
โ
5-1 vs. Viktoria Plzen
๐ค 3-3 vs. Inter Milan
โ 0-3 vs. Bayern Munich
๐ค 2-2 vs. Man United
14/12/2022
URAFIKI +FAIR PLAY
Anyway ushindi wa Ufaransa unafanya waingie fainali ya pili mfululizo lakini kuna miaka mabishoo Brazil walifanya hivyo mfano mwaka 1994 na 1998. Wahuni Argentina walifanya hivo mwaka 1886 na 1990. Wengine k**a ifuatavyo ๐
๐ฎ๐น ๐ 1934 ๐ 1938
๐ง๐ท ๐ 1958 ๐ 1962
๐ฆ๐ท ๐ 1986 ๐ฅ 1990
๐ง๐ท ๐ 1994 ๐ฅ 1998
๐ซ๐ท ๐ 2018 โณ 2022
02/12/2022
GADIEL MBAGA KUKAGUA UWANJA ?
Nimekumbuka mbali sana leo hasa zile mechi zetu za mtaani level ya chini kabisa ila tulikuwa tunaenjoy ile passion ya soka ,watu wako radhi watumie pesa kubwa alafu ubingwa Mbuzi. Sasa gharama zake hadi bajeti ya k**ati ya ushindi ๐.
KUMBE mambo haya mpaka ligi kuu sasa kaka Gadiel mechi saa 10 jioni wewe umeenda kukagua uwanja asubuhi saa4ย huo si muda wa mazoezi na timu yako ? Afu ukague uwanja wewe k**a nani? Mkaguzi wa uwanja au msimamizi wa mchezo? Nani kaguagiza? Hapa ni wazi yeye mchezaji wa Simba anawakilisha klabu so tuseme timu yake ilimuagiza kukagua uwanja swali pale kati kati ya uwanja ukamwagia vitu vya unga unga ulitumwa na nani ? Klabu yako ya Simba sio? . Nakosa majibu ya maswali haya ila nikae kimya tu.
Ehhh wanangu mpira wetu unakazi sana bodi ya ligi na k**ati zake kazi mnayo Anyway tutafika. Nasubir kuona hata taarifa kutoka kwa klabu kuhusu hili.
30/11/2022
MAAJABU YA HUYU MZEE.
Niwape stori vijana wenzangu huyu mzee kwenye picha anaitwa Enrique Macaya ni raia wa Argentina kazi yake ni
Mwanahabari nguli , Commentator (mtangazaji wa mechi).
Kwa sasa anamiaka 88 na bado anafanya ukoCommentator. Amekuwa kwenye kila Kombe la Dunia kuanzia 1954. Hili ni Kombe lake la 18 la Dunia. Ebu angalia mzee huyu alivyokuwa mpambanaji anashawishi mno kwa vijana wasikate tamaa ,kijana mwenzangu jivunie kazi yako pambana utafika mbali.
30/11/2022
JINSI AMBAVYO UNBEATEN INAVYOWATESA WATU๐คฃ.
29/11/2022
FA ya Ureno 'itawasilisha ushahidi kwa FIFA ambao unathibitisha kuwa Cristiano Ronaldo aliugusa mpira wa KROSS iliepigwa na Bruno Fernandes katika mchezo wao dhidi ya Uruguay' baada ya bao hilo kukabidhiwa kwa mchezaji mwenzake wa zamani wa Manchester United Bruno Fernandez
Chanzo : Mailonline
29/11/2022
Ronaldo was happy for Bruno Fernandes' brace ๐
24/11/2022
Mmhhh.....๐ค
21/11/2022
NI NGUMU MNO .....HEHEHE...
kwa mujibu wa tovuti ya Marca wamechapisha stori eti Real Madrid hawatasajili mshambuliaji yeyote katika dirisha dogo la usajili k**a mbadala wa Karim Benzema.
Hivi karibuni tetesi za mnyama Cristiano Ronaldo alikuwa anatajwa huenda akatua pale Santiago Bernabeu kwenda kuongeza nguvu katika idara ya UFUNGAJI. kwa mujibu wa Chanzo hicho wakubwa wamechomoa betri anyway jaman Chelsea si mpo hamna mshambuliaji Ronaldo si uyo hapo...
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Culinary Team
Attire
Contact the business
Website
Address
Dar Es Salaam