01/09/2026
Ukiambiwa ni timu pinzani na hii ni baada ya mechi kuisha utakubali?
Kati yao nani anafurahia ushindi na yupi anafurahia kufungwa?π
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Michezo Online Library 24, Dar es Salaam.
01/09/2026
Ukiambiwa ni timu pinzani na hii ni baada ya mechi kuisha utakubali?
Kati yao nani anafurahia ushindi na yupi anafurahia kufungwa?π
25/08/2026
"Chuga hakucheza vizuri na nimechukizwa nae sana kwakuwa alikuwa anacheza kwa ajili yake na sio kwa ajili ya timu, anapaswa kujitafakari kwasababu timu ni ngumu hii sasa k**a hayupo makini na kiwango chake basi sina muda na Wachezaji ambao hawachezi kwa ajili ya timu, ana kipaji kikubwa ila aache ubinafsi atakuwa bora kirahisi endapo atacheza kwa ajili ya timu"
- Manqoba Mngthihi, Kocha Mkuu wa YANGA SC.
Wachezaji wajipange kwa huyu kochaπ€
24/08/2026
WANAKUCHAMBUA MPAKA UNABAKI UCHI
πΏπ¦ Kwa hizi siku chache nilizoitizama Yanga SC chini ya kocha Manqoba Mngithi nimenyoosha mikono kwamba huyu ni mwamba haswaa
Jamaa anaweza huwezi kumsimanga,anabadilisha mfumo kulingana na opponent na wakati anaotaka yeye,kabla ya mechi na wakati wa mchezo (nilisema Ile siku wanacheza na Simba sc kwamba ile mechi hata ingechezwa siku 5 Simba asingetoboa) ile presha ya dakika 25 alivyotoka kwenye ule mtego Simba aliifanya alivyojisikia
Napenda sana game management yake, anajua kucontrol tempo na game state,juzi nilisema Yanga SC kwasasa wanaweza hata kucheza dakika 120 kwa intensity ile ile
Angalia defensive organisation ya Yanga SC, itizame Yanga SC ikiwa haina mpira, positioning za wachezaji na runs zao unaweza kujikuta unamiliki mpira ila huoni kwa kupeleka
Huyu kocha kwasasa namdai PLAYER DEVELOPMENT, hicho tu hawa waliosajiliwa tayari ni Bora na wamekomaa natamani atoke Yanga SC akiwa ameacha mchezaji mmoja bora ambaye daima atasema Mngithi ndo chanzo cha ubora wake
Pale yanga hakuna mchezaji anayeweza kujihakikishia dakika 90 zaidi ya Diara na Yao
Huyu mzee hatabiriki
24/08/2026
Albert Kangwanda amehusika kwenye mabao matatu, wakifunga moja na kusaidia 'assists' mengine mawili wakati Wananchi wakichomoza na ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya Maafande wa JKT Tanzania katika dimba la KMC Complex.
Young Africans SC wamekwea kileleni mwa msimamo wa ligi Kuu ya NBC Tanzania bara wakifikisha alama 9 baada ya mechi tatu huku wakifunga jumla ya magoli 11 na kuruhusu mabao mawili.
FT: Yanga SC 4-0 JKT Tanzania
β½ 28' Kangwanda
β½ 34' Bacca
β½ 38' Boka
β½ 63' Shalulile
kinachofuata!!π€
19/08/2026
WANA SIMBA MMEKAMIA AU MMEKAMIWA?
π₯ππ πππ₯π MBILI MECHI MBILI
Mchezo uliopita wa Simba SC dhidi ya Kagera Sugar, beki wa kulia David Kameta alioneshwa kadi nyekundu baada ya kufanya faulo mbaya dhidi ya David Luhende.
Leo hii hali imejirudia tena! π³ Kiungo wa Simba, Ibraheem Jabaar, ameoneshwa kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya mchezaji wa Pamba Jiji kwa kumrushia kiwiko. π₯
RED CARD ZIMEWAANDAMA SIMBA SC.! π€
18/08/2026
MHINDI WA BUZA KANYWEA K**A TEMBELE LILILO LALAπ€£
Nyie mlivyosikia CPA mlijua ni kicha k**a vichaa vingine au mlijua ni maneno k**a maneno mengine?
Huyu Bwana Joseph Rwegasira amesoma na anatambulika
(Certified Public Acountant)
Shabiki wa simba anayefahamika k**a "Mhindi wa Simba" pamoja na wenzake wanashikiliwa na Jeshi la Polisi (Central Police Station) kwa tuhuma za uchafuzi wa chapa (defamation/kuchafua brand) ya mzabuni wa jezi za Simba, CPA Joseph Rwegasira (JAYRUTTY Investment Ltd).
Inaripotiwa kuwa jalada na shauri hilo linatarajiwa kufikishwa mahak**ani kesho kutwa kwa makosa ya uchafuzi wa jina na chapa, ikiwa ni fundisho kwa wanaotumiwa au kusambaza taarifa bila uthibitisho.
JAYRUTTY au MO apepeweπ?
18/08/2026
K**a vipi katisheni Ligi wapeni Kombe lao, si kwa ubaya ni kwa kukwepa fedhea.
Shasha Man, Aziz Ki funguo mjadala huo ni waroho mbaya.
16/08/2026
SAFARI YA DUCHU IMESIMAMA⦠SASA NI ZAMU YA CHILAMBO!
Kapombe ni majeruhi β
David βDuchuβ Kameta ana kadi nyekundu π₯
Na sasa Nathaniel Chilambo ndiye full-back wa kulia pekee aliyebaki!
Hii si nafasi ya kujifichaβhii ni nafasi ya kujitambulisha. πͺπ₯
Chilambo, viongozi wa Simba SC walikuamini kwa sababu waliona kitu ndani yako. Sasa ni muda wa kuonyesha kwa vitendo kwa nini walikupa jezi ya Simba.
Wana Simba wanakutegemea.
Uwanja ni wako.
Presha ni yako.
Fursa ni yako!
NENDA CHILAMBO, WAAAMBIE WANA SIMBA KWA NINI WEWE!
16/08/2026
Kijana aliyegoma kuzeeka Modric anaendelea kuubonda mpira.
16/08/2026
ππππππππ ππππππ πππππππππ!π₯π¬π·
Ametoa assists kwenye mechi yake ya kwanza akiwa na Arsenal ππ
Mwanzo wakipekee tangu kujiunga kwa mkataba wa β¬40m akitokea Bruggeβ¦
β¦na tayari ni magoli 5/Assists 5 katika mechi 4 tangu kujiunga na Arsenal ‡οΈβ¨
vs Girona β½οΈ
vs Real Betis π
°οΈ
vs Dortmund π
°οΈ
vs Man City π
°οΈπ
°οΈ
Tuseme tu siyo mbaya kwa kuanza kwakeπ