Sport Science

Sport Science All about sport facts

Kwa wapenzi wa soka ,leo tunasoma comments . Unaanza na nani kati ya Chilambo na Kwasi wote wakiwa kwenye form Follow pa...
01/10/2026

Kwa wapenzi wa soka ,leo tunasoma comments . Unaanza na nani kati ya Chilambo na Kwasi wote wakiwa kwenye form
Follow page yetu ya Sport Science kwa tips za michezo

01/10/2026


Nani ataumia?

01/10/2026

Football ni burudani

01/10/2026

Kwa mfano itokee kwenye Simba SC Tanzania na Young Africans Sports Club Shalulile afunge na apige hii style, aisee hapo ndipo utaichukia ama kuipenda
Follow Sport Science

01/10/2026

Kapombe na Assist ya goli bora CAF
Follow Sport Science

01/10/2026

Hii vita ya Mpanzu na Kwasi huwa ni kubwa sana
Follow Sport Science

Usikoment kishabiki , komenti kimichezo zaidi. Hapa unaanza na nani kati ya De Rock na Bacca?Follow page yetu ya Sport S...
01/10/2026

Usikoment kishabiki , komenti kimichezo zaidi. Hapa unaanza na nani kati ya De Rock na Bacca?
Follow page yetu ya Sport Science

Wanasoka tusaidiane kujibu hili swali. Kati ya Ronadinho na Okocha wew ungeanza na nani, na nani angekaa benchi. Pia usi...
30/09/2026

Wanasoka tusaidiane kujibu hili swali. Kati ya Ronadinho na Okocha wew ungeanza na nani, na nani angekaa benchi. Pia usisahau kutu follow Sport Science

30/09/2026

Mtaje mwanao mmoja ambaye alikuwa mchoyo wa kutoa pasi mazoezini au kwneye mechi za shule
Follow Sport Science

Ukiangalia style ya uchezaji wa Khuliso Mudau Right back wa Mamelodi Sundowns F.C. na ukarudi ukamtazama Nathaniel Chila...
30/09/2026

Ukiangalia style ya uchezaji wa Khuliso Mudau Right back wa Mamelodi Sundowns F.C. na ukarudi ukamtazama Nathaniel Chilambo wa Simba SC Tanzania utagundua kuwa watu hawa wanafanana sana katika uchezaji wao.
Follow page yetu kwa tips za michezo zaidi
Sport Science

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sport Science posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category