09/02/2022
captain wetu akikabiziwa zawadi ya mabingwa
Tunakuza vipaji na kuwaanda vijana kuanzia miaka 13-18 .
09/02/2022
captain wetu akikabiziwa zawadi ya mabingwa
09/02/2022
Champion 2022 🏆🏆🥇
02/02/2022
Sehem ni moja tu.jumapili hii viwanja vya rangi 3 shule ..njooni tuoneshe saport kwa vijana wetu..naiman kwa saport yenu kombe linabaki dream
TEAM ONE DREAM
Rondo
28/01/2022
Happy birthday kaptain
hussein shemweta *kid*
Allah asimamie kipaji chako
28/01/2022
Ndoto huleta uharisia wa maisha.
Na ndio maana kwetu ndoto ni kitu cha msingi cha kuwafanya vijana waishi kwa Marengo wakiamin skumoja ndoto zao zitakuja kuwa kweli
Our first Post
24/01/2022
Furaha kwa vijana baada ya kushinda mchezo wa nusu fainali
04/01/2022
12/10/2021
Seif Musa akifanya kile anachokipenda 💪
11/08/2021
Jina:muhsin Kambona
Nafasi:mshambuliaji
Kikosi:U17
30/06/2021
🔥
31/05/2021
Alhamdulilah tumeshinda mechi yetu ya nusu fainali na sasa tunaelekea kwenye fainali yenyewe itakayofanyika siku ya jumamosi uwanja wa gonga (mzinga,kongowe)