Lugano Israel Mwakyeja

Lugano Israel Mwakyeja

Share

Lugano Israel,

HII PAGE IMEJIKITA KWENYE MAMBO YA MICHEZO NA MATUKIO YAKE

12/04/2026

Chama cha makocha wa ngumi boxing waboresha katiba yao ilikuendana na katiba ya kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini Tanzania (TPBRC).....
Mkutano huo ambao ambao umefanyika Nefaland hotel pia umeunda k**ati mbalimbali zakimkakati kwaajili ya kukuza heshima ya Chama cha ngumi za kulipwa ikiwemo k**ati ya nidhamu,K**ati ya ufundi,k**ati ya habari ,K**ati ya hamasa nk......

Akitaja k**ati hizo katibu wa Chama hicho Juma Mbogo amesema Chama hicho kimedhamiria kuleta mapinfuzi ya kimaendeleo kutoka kwenye mikakati ya Zamani na kukifanya Chama cha kisasa kwa kuendana na Kasi ya maendeleo na mabadiliko ya kimaisha lazima TPRCA iendane na Kasi hiyo.
Miongoni mwa mabadiliko ya katiba yalioungwa mkono na wanachama ni kuwa na mfuko wa Dharula.
.mbogo.7161

10/04/2026

Mungu ni mwema hata sasa
Naomba Mungu anipe hekima za ujana na niwe wamaana hata mpaka uzee wangu.

Mhubiri 9:11 Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.

K**a umelielewa neno hili sema kitu ulichoelewa au sema Amina

31/03/2026

Cas kujibu point za Simba kutoka yanga ingia YouTube "Like Media".......

Follow Instagram

26/03/2026

Nipo na semaji la Chama cha makocha Dauka Simba tunapiga stori na mastori
kubwa la watu unaongozana nao watasema watu wanaenda kule lakini
na mtu Mmoja anaenda sehemu watu watasema kunamtu anaenda sio kundi hii unaweza kuelewa

25/03/2026

Sports Knock Out
Mjini Fm
Saa 6 mpaka 8 Mchana J3-Ijumaa

Jumamosi Saa 4- 6 Mchana

18/03/2026

Christina Mwagala kaingiwa na huruma sana amemfuta machoni Ally Kamwe kwa kitambaa cha Simba(Vipi unanielewa?)......Hii ni ishara ya kumpiga simba

18/03/2026

Mwananchi kaamua kwenda kuua!! High pressing Ya Shehan,DUBE,Max,Abuya na pacome ni k**a moto mkali kuongeza na petrol......

13/03/2026

Sio rahisi kwa binadamu!! na sio ngumu kwa Mungu!!
Wewe ni Bora ukijiona wewe kwenye mbele yenye Mungu!! Ila si kitu yenye mbele isio na Mungu muumba wa mbingu na vilivyomo duniani.
Happy Friday.......

02/03/2026

ASANTE MUNGU KWA NENO LAKO!!
AMEN!!.

Isaya 60:11
[11]Malango yako nayo yatakuwa wazi daima;
Hayatafungwa mchana wala usiku;
Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa,
Na wafalme wao wakiongozwa pamoja nao.

Isaya 61:5
[5]Na wageni watasimama na kulisha makundi yenu, na watu wa kabila nyingine watakuwa wakulima wenu, na watunzaji wa mizabibu
yenu.

Isaya 60:1,11
[1]Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja,
Na utukufu wa BWANA umekuzukia.
Arise, shine; for thy light is come, and the glory of the LORD is risen upon thee.

25/02/2026

Ebu elezea Kila goli lilikuaje!!
Lipi lilikuwa goli bora?....

25/02/2026

Tanzania Prison imemtimua kocha Zedeckia Otieno.
-Umejiuliza kwanini wamemtimua?......

24/02/2026

Siku k**a yaleo!!

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


P. O. BOX 71476
Dar Es Salaam
20200