Soccer orbit

Soccer orbit

Share

ukurasa huu ni maaalum kwa ajili ya habari za michezo haswa
usajili,Matokeo,uchambuzi,mijada

07/02/2025

✅ DEAL DONE!!

Nuno Mendes amesaini mkataba mpya katika klabu ya Paris Saint-Germain.
Ambapo mkataba huo utamfanya asalie katika viunga vya PSG kwa miaka mitano ijayo.
Huku Nuno akiwa ni miongoni mwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi ndani ya klabu hiyo ya PSG huku mshahara wake sasa ukiboreshwa na mkataba mrefu zaidi kwa beki huyo wa kushoto wa Ureno licha ya kuhusishwa na vilabu vingi vya EPL.

06/02/2025

🚨 VIWANJANI LEO 06/02/2025

🇹🇿14:00 - Tanzania Prisons ⚔️ Mashujaa FC

🇹🇿 14:00 - Dodoma Jiji FC ⚔️ Pamba Jiji FC

🇹🇷 16:00 - Boluspor ⚔️ Galatasaray FK

🇹🇿 16:15 - Fountain Gate FC ⚔️ Simba Sports Club

🇹🇿 19:00 - Azam Football Club ⚔️ KMC FC

🇸🇦 20:00 - Al Taawoum ⚔️ Al Ittihad

🇪🇸 21:30 - Real Sociedad ⚔️ Osasuna

🇮🇹 22:45 - Fiorentina ⚔️ Inter Milan

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 23:00 - Liverpool FC ⚔️ Tottenham Hotspur

🇪🇸 23:30 - Valencia CF ⚔️ FC Barcelona

07/11/2023

Watekaji nyara waliomchukua baba yake Luis Diaz wamefichua kuwa watamwachilia.

Hata hivyo, wanasubiri hakikisho kutoka kwa serikali ya Colombia kabla ya kufanya hivyo.[OptusSports]

07/11/2023

Mauricio Pochettino: "Makocha wengi walitaka VAR, na sasa wakati ikiwa dhidi yako , Ah hapana ni aibu, ah ni ngumu, siongelei juu ya Arteta eh.[Hayters Tv]

07/11/2023

🏟️Viwanjani Leo

Uefa Champions League
20:45Dortmund - Newcastle
20:45Shakhtar Donetsk - Barcelona
23:00AC Milan - Paris SG
23:00Atl. Madrid - Celtic
23:00Crvena zvezda - RB Leipzig
23:00FC Porto - Antwerp
23:00Lazio - Feyenoord
23:00Manchester City - Young Boys
DR CONGO: Ligue 1
16:30Don Bosco - Mazembe
ENGLAND: Championship
23:00Rotherham - Ipswich
SOUTH AFRICA: Premier League
20:30Cape Town City - Chippa Utd
20:30Orlando Pirates - Sekhukhune
20:30Royal AM - Golden Arrows
20:30Stellenbosch - Richards Bay

05/11/2023

Viwanjani Leo

ENGLAND: Premier League
17:00Nottingham - Aston Villa
19:30Luton - Liverpool
FRANCE: Ligue 1
15:00Lyon - Metz
17:00Nantes - Reims
17:00Strasbourg - Clermont
17:00Toulouse - Le Havre
19:05Monaco - Brest
22:45Nice - Rennes
GERMANY: Bundesliga
17:30Wolfsburg - Werder Bremen
19:30Heidenheim - Stuttgart
ITALY: Serie A
14:30Verona - Monza
17:00Cagliari - Genoa
20:00AS Roma - Lecce
22:45Fiorentina - Juventus
NETHERLANDS: Eredivisie
14:15Utrecht - Twente
16:30Nijmegen - FC Volendam
18:30Zwolle - Sittard
18:45Ajax - Heerenveen
18:45Sparta Rotterdam - Almere City
SPAIN: LaLiga
16:00Alaves - Almeria
18:15Valencia - Granada CF
20:30Villarreal - Ath Bilbao
23:00Real Madrid - Rayo Vallecano
BELGIUM: Jupiler Pro League
15:30Cercle Brugge KSV - Anderlecht
18:00St. Liege - KV Mechelen
20:30Royale Union SG - Club Brugge KV
21:15Charleroi - Gent
ENGLAND: Championship
15:00Norwich - Blackburn
13:30Sivasspor - Adana Demirspor
16:00Basaksehir - Ankaragucu
16:00Konyaspor - Karagumruk
19:00Antalyaspor - Besiktas

04/11/2023

Bruno Fernandes: "Hali haikuwa nzuri. Leo tulilazimika kupokea, tumepata pointi tatu na hiyo ndio muhimu zaidi"

04/11/2023

Mchezo Umemalizika : EPL

FULHAM 0️⃣➖️1️⃣ MANCHESTER UNITED
⚽️ 90+1" Fernández

04/11/2023

Erik ten Hag akishangilia goli la Bruno Fernandes Fulham 0️⃣ 🆚 Man United 1️⃣

04/11/2023

Premier Laugue Matchday 11

Je Man United ataibuka na ushindi Craven Cottage ama Chelsea ataisimanisha Spurs iliyo katika form msimu huu na Mikel Arteta akiwa St James'Park atapita points tatu??

03/11/2023

🆕 Historia inakwenda kuwekwa hapo kesho ndani ya Craven Cottage kwenye Premier Laugue Uingereza .

Rebecca Welch atakuwa mwanamke wa kwanza kuteuliwa kuwa Fourth official kwenye mchezo wa Ligi kuu Uingereza hapo kesho akisaidiana na waamuzi wenzie Wendy Toms, Sian Massey-Ellis na Natalie Ashinall.

03/11/2023

👏Harry Kane kwa Sasa ndiye mchezaji anayeongoza katika kuhusika kwenye magoli ndani ya ligi 5 Bora barani Ulaya huku akiwaacha wafungaji wenzake k**a Mbappe,Haaland na Salah.[90MIN].

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Tabata Dar Es Salaam
Dar Es Salaam