02/09/2023
πΌππππΎπΌπ πππππ½πΌππ πππΌπππ
Draw ya super league imefanyika
πΉπΏ Simba β Al Ahly πͺπ¬
π¨π© TP Mazembe β Esperance πΉπ³
π¦π΄ Petro Atletico β Mamelodi πΏπ¦
π³π¬ Enyimba β Wydad Casablanca π²π¦
29/08/2023
Hatimae wenye nafasi yao wamerudi kileleni.
Ilikua ni mchezo mzuri na siku nzuri kwa yanga.
JKT walijitahidi kuziba space katika kipindi cha kwanza na kwa asilimia kubwa walifanikiwa.
Yanga kipindi cha pili waliweza kuongeza kasi ya kushambulia na kupress langoni mwa JKT na hatimae kuweza kufanikiwa kushinda magoli 5
*Yao what a goaal......
*max ni wamoto hasa....
Hongereni Africans kwa ushindi mnono
26/08/2023
βΊβΊ ππΌπ πΏπΌπ
Maxi amelipa fadhila za wananchi baada ya kumuheshimisha kwa kuipa jina lake mechi hii π₯.. Amefunga magoli (2) + Assist (1)
Full β πΉπΏ Yanga 5 - 1 ASAS πͺπΉ
β½οΈβ½ Maxi Nzengeli β 7', 90'
β½οΈ Hafidh Konkoni β 44'
β½οΈ Pacome π
°οΈMaxi β t5'
β½οΈ Mzize π
°οΈKibabage β 75'
β½οΈ Tito βΊβΊ Penati β 84'
πΌπππ§ππππ©π β 7 - 1
ππ€π©π β Yanga watacheza na Al Merrikh πΈπ© kwenye michezo wa CAF 1st round. Al Merrikh wamechagua Nchi ya Rwanda kuchezea mechi zao.
Yanga wataanzia ugenini.
26/08/2023
Mwananchii usisahau kuchomekea leoooo.......
24/08/2023
Habari ya mchana ndugu wananchi wenzangu π°π°
Nipo hapa kuwakumbusha kuwa.......
Jana -------
π©Aliyeanza kufungua akaunti ya magoli ni beki namba 5.
(Dickson Job)
π¨Tena anavaa jezi namba 5.
π© KMC walipigwa goli 5.
π§ Wafungaji wa mabao walikuwa wa 5.
π©Na jana ilikuwa jumatano.
Ipo siku ataanza kufunga goli mwenye jezi namba 10 watu wakapigwa 10 π€£π€£π€£
21/08/2023
Inatosha sasaπ€£π€£π€²
19/08/2023
.
βπ»Kipindi cha kwanza hizi timu mbili zilionesha udhaifu wa hali ya juu sana kwenye maeneo mengi
1: Uzuiaji mbaya sana
2: Pressing ambayo haina uimara
3: Mipira kupotea kirahisu sana
4: Kushindwa kumiliki mchezo hasa kwa wale viungo 6 wote ni Bissouma pekee ndio alikuwa anaonesha uhai
5: Umaliziaji duni
βπ»Spurs kwenye muundo wao mpya wa 2-3-5 , fullbacks wawili wanaingia ndani mstari mmoja na Bissouma huku Maddison na Sarr wakiwa namba 8 wawili , kwenye uanzishaji wao wa mashambulizi hasa kipindi cha kwanzw haikuwa nzuri sana na kufanya hata pressing ya United kuonekana nzuri sana ambapo walikuwa wana press na 4-1-4-1 maana yake United walizuia njia zote za pasi kwenda katikati
βπ»United walikuwa wanakosa control , wapo direct sana matokeo yake wanapoteza mipira kirahisi
1: Hakuna muunganiko mzuri baina ya mabeki wa kati na kiungo namba 6 wa United
2: Hakuna muunganiko mzuri baina ya namba 6 na namba 8 wawili wa United
3: Baada ya hapo United wakipoteza tu mpira , Rashford anakuwa k**a kapewa kadi nyekundu , hana msaada kwenye kuweka presha kwenye mpira
βπ»Kipindi cha pili Spurs walionesha njaa zaidi kuliko United , walipasia mpira vizuri , walishambulia vizuri , build up nzuri sana kuliko United , na hata level ya kuzuia ilikuwa nzuri kuliko kipindi cha pili . Timu bora uwanjani hasa kipindi cha pili ndio imeshinda mechi
NOTE
1: Yves Bissouma aliwavurga sana Man United , kuanzia filimbi ya kwanza mpaka ya mwisho
2: Vicario golini , saves katika nyakati sahihi
3: Level ya uimara wa kimwili kwa baadhi ya wachezaji wa United na Spurs inatia wasiwasi sana ( Varane kwenye kasi ? π€ Casemiro huruma , Van De Ven wa Spurs k**a anatembea )
4: Ukiondoa tena Onana leo unaangalia wachezaji waliobaki wa United unashika kichwa π€
5: Mechi yake ya pili Ange Postecoglou lakini unaona nini Spurs wanajaribu kufanya lakini unajiuliza ETH nini anajaribu kufanya mpaka sasa ? π€
By mchambuzi George Ambangile
13/08/2023
Hatimae siku imewadia........
Je nani atakua bingwa wa ngao ya jamii ni YANGA au SIMBA.
Huku ni AZAM na SINGIDA FOUNTAINS GATE katika kinyang'anyilo cha mshindi wa tatu, je ni nani atashinda?
Tusikose kuangalia mechi kali za leo.
Usisahau kufollow, kulike na kutoa maoni yako k**a mdau wa soka.........
10/08/2023
πππΌπ ππΌ π
πΌπππ
Historia kuhusu mabingwa wa ngao ya jamii tangu ianzishwe mwaka 2001 Tanzania bara.
β 2001 β Yanga 2 - 1 Simba
β 2003 - 2008 β Not played
β 2009 β Mtibwa 1 - 0 Yanga
β 2010 β Yanga 3 - 1 Simba βΊβΊ Pen
β 2011 β Simba 2 - 0 Yanga
β 2012 β Simba 3 - 2 Azam
β 2013 β Yanga 1 - 0 Azam
β 2014 β Yanga 3 - 0 Azam
β 2015 β Yanga 8 - 7 Azam βΊβΊ Pen
β 2016 β Azam 4 - 1 Yanga βΊβΊ Pen
β 2017 β Simba 5 - 4 Yanga βΊβΊ Pen
β 2018 β Simba 2 - 1 Mtibwa
β 2019 β Simba 4 - 2 Azam
β 2020 β Simba 2 - 0 Namungo
β 2021 β Yanga 1 - 0 Simba
β 2022 β Yanga 2 - 1 Simba
β 2023 β ?!
π 07 β Young Africans
π 06 β Simba SC
π 01 β Mtibwa sugar
π 01 β Azam FC
Je YANGA ataendelea kutetea ubingwa wake msimu huu pia au ni zamu ya SIMBA au SINGIDA FOUNTAIN GATE.
Tukutane fainaliii............
10/08/2023
Ni nani atamfata YANGA leo je ni SIMBA au SINGIDA FOUNTAINS GATE?
.. Usisahau kufollow, kulike na kutoa maoni yako k**a mdau wa soka.
09/08/2023
Hapa kwa Max Nzegeli Yanga wamepata mchezaji wa maana sana atawasaidia sana kimataifa na kwenye mashindano ya ndani sidhani k**a kuna kocha ambaye hapendi kuwa na mchezaji k**a Max Nzegeli