Katika Mbio hiyo ya Albinism awareness international Marathon ASC wanatarajia kuwaalika pia waheshimiwa wabunge ili kuhakikisha mbio inakuwa na mvuto wa hali ya juu kwaku ndo Mbio ya kwa kufanyika Duniani.
Pia wanatara kumualika Mhe Paulo Makinda kuwa mgeni rasmi baada ya kukamilishamahitaji.
Ungana nao kwa no nao siku hiyo
Kwa kuchangia my ulichobarikiwa wezesha kupitia lipa namba Mpesa 50613388 au akaunti no Ndani ya kipindi cha kambi ya michezo ITV/Radio One tarehe 13/05/2026 ambapo Katibu Mkuu wa Albinism Sports Club Ndg Joseph Sinda alishiriki kufanyiwa mahojiano na mtangazaji wa habari za michezo Ndg Khalid Msabaha.
Hii ni kuelekea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kuongeza uelewa juu ya Ualbino na kujiandaa na Mbio ya kimataifa ya kuongeza uelewa juu ya Ualbino (International Albinism Awareness Marathon 2026.
Hii ni kwa mara ya kwanza kufanyika Duniani itakayofanyika Wilayani Tarime Mkoani Mara tarehe 13/06/2026
Lengo la Marathon hiyo ni
1. kuendelea kuelimisha jamii juu ya Ualbino
2. Kuwezesha upatikanaji wa mahitaji mbalimbali na fedha za ujenzi wa Uzio wa Shule ambayo Watoto wenye Ualbino wanayosoma ili wawe katika mazingira salama.
3. Kujenga kituo cha michezo na uwanja wa kisasa shirikishi wa michezo kwa Watu wenye Ualbino na wasio na Ualbino.
4. Kuwezesha upatikanaji wa fedha za kuanzisha miradi mbalimbali endelevu itakayowawezesha Watu wenye Ualbino wenye vipaji na wasio na wasio na vipaji ili kuondokana na uchumi tegemezi ambao ndio chanzo kikuu cha ubaguzi,unyanyapaa, naukatili dhidi ya Watu wenye Ualbino.
Ungana nao kwa kukimbia nao pamoja kuonyesha upendo kwao.
Wezesha Mbio hiyo kwa kuchangia chochote ulichobarikiwa kwenda lipa Mpesa 50613388 au kwenye akaunti no
20510066242 jina Albinism Sports Club.
albinismsports
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from albinismsports, Sports Club, Kinondoni, Manyanya. . near Osha office, Dar es Salaam.
Albinism Sports and Culture Tour is a programme established for the purpose of raising awareness of the community to get better understanding of albinism and the challenges facing persons with albinis
Ilikuwa mubashara (live) katika kipindi cha kambi ya michezo ITV/Radio 📻 One ambapo Katibu Mkuu wa Albinism Sports Club alishiriki mahojiano na mtangazaji wa habari za michezo Ndg Khalid Msabaha.
Ndani ya kipindi cha kambi ya michezo ITV/Radio One tarehe 13/05/2026 ambapo Katibu Mkuu wa Albinism Sports Club Ndg Joseph Sinda alishiriki kufanyiwa mahojiano na mtangazaji wa habari za michezo Ndg Khalid Msabaha.
Hii ni kuelekea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kuongeza uelewa juu ya Ualbino na kujiandaa na Mbio ya kimataifa ya kuongeza uelewa juu ya Ualbino (International Albinism Awareness Marathon 2026.
Hii ni kwa mara ya kwanza kufanyika Duniani itakayofanyika Wilayani Tarime Mkoani Mara tarehe 13/06/2026
Lengo la Marathon hiyo ni
1. kuendelea kuelimisha jamii juu ya Ualbino
2. Kuwezesha upatikanaji wa mahitaji mbalimbali na fedha za ujenzi wa Uzio wa Shule ambayo Watoto wenye Ualbino wanayosoma ili wawe katika mazingira salama.
3. Kujenga kituo cha michezo na uwanja wa kisasa shirikishi wa michezo kwa Watu wenye Ualbino na wasio na Ualbino.
4. Kuwezesha upatikanaji wa fedha za kuanzisha miradi mbalimbali endelevu itakayowawezesha Watu wenye Ualbino wenye vipaji na wasio na wasio na vipaji ili kuondokana na uchumi tegemezi ambao ndio chanzo kikuu cha ubaguzi,unyanyapaa, naukatili dhidi ya Watu wenye Ualbino.
Ungana nao kwa kukimbia nao pamoja kuonyesha upendo kwao.
Wezesha Mbio hiyo kwa kuchangia chochote ulichobarikiwa kwenda lipa Mpesa 50613388 au kwenye akaunti no
20510066242 jina Albinism Sports Club.
Tarehe 13 Mei 2026 Katibu Mkuu wa Albinism Sports Club Ndg Joseph Sinda atakuwa mubashara (Live) katika kipindi cha kumekucha ITV kuanzia saa 02:00 asubuhi kuzungumzia Mbio ya kimataifa ya kuongeza uelewa juu ya Ualbino (Albinism Awareness International Marathon 2026) kwa mara ya kwanza kidunia itafanyikia Mkoa wa Mara wilaya Tarime tarehe 13/06/2026 pia itaendana na maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kuongeza uelewa juu ya Ualbino (International Albinism Awareness Day 2026).
Lengo kuu la Mbio hiyo ni
1. kuendelea kuelimisha jamii juu ya Ualbino.
2. Kuwezesha kuendesha harambee ya kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Uzio wa Shule ambayo w Watoto wenye Ualbino watasoma kwa usalama, ujenzi wa kituo cha michezo
Pia Mbio hiyo itakuwa sehemu ya kuvitangaza vivutio mbalimbali vilivyoko Wilaya ya Tarime, Wilaya zinazopana nayo na
Tanzania kwa ujumla sambamba na kuongeza mapato kwa kuwa wageni watakaoshiriki watatokea nchi mbalimbali za Ulaya, America na Asia 🌏.
Kuunga mkono jitihada za Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Dr Samia Suluhu Hassan kutangaza utalii wa ndani na nje kwa kutembelea mbuga na vivutio mbalimbali vilivyoko Kanda ya ziwa , kaskazini na maeneo ya jirani kulingana na uwezesho utakaokuwepo.
Ungana nao kwa kukimbia nao pamoja kuonyesha upendo kwao Kwa kushiriki jisajili Sasa.
Wezesha Mbio hiyo kwa kuchangia chochote ulichobarikiwa kupitia lipa Mpesa 50613388 au akaunti no 20510066242 jina ni Albinism Sports Club.
Kwa maelezo zaidi piga 0747489804 au email [email protected]
tanzania
matiko
online.news
tanzania
12/05/2026
Tarehe 13 Mei 2026 Katibu Mkuu wa Albinism Sports Club Ndg Joseph Sinda atakuwa mubashara (Live) katika kipindi cha kumekucha ITV kuanzia saa 02:00 asubuhi kuzungumzia Mbio ya kimataifa ya kuongeza uelewa juu ya Ualbino (International Albinism Awareness Marathon 2026) kwa mara ya kwanza kidunia itafanyikia Mkoa wa Mara wilayani Tarime tarehe 13/06/2026 pia itakuwa ni maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kuongeza uelewa juu ya Ualbino (International Albinism Awareness Day 2026).
Ungana nao kwa kukimbia nao pamoja kuonyesha upendo kwao Kwa kushiriki jisajili Sasa .
Wezesha Mbio hiyo kwa kuchangia chochote ulichobarikiwa kupitia lipa Mpesa 50613388 au akaunti no 20510066242 jina ni Albinism Sports Club
Kwa maelezo zaidi piga 0747489804 au email [email protected]
Kutoka maktaba ambapo Klabu ya Everton ilikuja Tanzania mwaka 2017 julai na kicheza mechi ya kirafiki na kiwashirikisha wachezaji wenye Ualbino katika ziara yao ya kimichezo hii ilidhihirisha wazi kuwa hata wenzetu wanawajali na kuwapenda Watu wenye Ualbino wewe je?
Ungana nao kwa kukimbia pamoja nao ili kuwezesha upatikanaji wa mahitaji mbalimbali na fedha za kufanikisha ujenzi wa Uzio wa Shule wanayosoma watoto wenye Ualbino, Darasa la michezo na uwanja shirikishi wa michezo kwa Watu wenye Ulemavu pale Tarime ambao utawezesha kuibua, kukuza na kuendeleza michezo na vipaji vya Watu wenye Ualbino na wasio na Ualbino.
Wezesha marathon kwa kuchangia chochote ulichobarikiwa kwenda lipa Mpesa no 50613388 au akaunti no 20510066242 NMB Jina Albinism Sports Club
Au wasiliana nao kwa no 0747489804.
Katibu Mkuu wa Albinism Sports Club Ndg Joseph Sinda ashiriki katika kipindi cha tamasha la michezo ITV azungumzia uanzishwaji wa Mbio ya kimataifa ya kuongeza uelewa juu ya Ualbino (International Albinism Awareness Marathon 2026) kwa mara ya kwanza kufanyika Duniani itakayofanyika Wilayani Tarime Mkoani Mara tarehe 13 juni 2026.
Lengo la Marathon hiyo ni kuwezesha upatikanaji wa mahitaji na fedha za ujenzi wa Uzio wa Shule wanayosoma wanafunzi wenye Ualbino na Darasa la michezo kwa Watu wenye Ualbino na wasio na Ualbino pamoja uwanja wa kisasa shirikishi wa michezo kwa Watu wenye Ulemavu na wasio na Ulemavu ikiwemo kuwawezesha kupata mahitaji muhimu.
Mbio hiyo itawezesha kutangaza vivutio mbalimbali vilivyoko Tarime na Tanzania kwa ujumla kwakuwa itawaleta Watu wenye Ualbino na wasio na Ualbino kutoka nje k**a Ulaya, America na Asia 🌏
Kuongeza mapato ya Tarime na Taifa kwa ujumla kwa wageni kushiriki.
Ungana nao kwa kukimbia nao katika Marathon hiyo jumuishi kwa kujisajili kushiriki au kuwawezesha kufanikisha Mbio hiyo kwa kuchangia chochote ulichobarikiwa kupitia lipa no Mpesa 50613388 au akaunti no 20510066242 NMB Jina Albinism Sports Club.
Kimbi nao onyesha upendo kwao
Leo katika kipindi cha tamasha la michezo (ITV) kuanzia saa 08: 00 Mchana Katibu Mkuu wa Albinism Sports Club ndugu Joseph Sinda atakuwa mubashara (Live ) akizungumzia Mbio ya kimataifa ya kuongeza uelewa juu ya Ualbino (International Albinism Awareness Marathon 2026 ) hii itakuwa ni mara ya kwanza kufanyika Duniani ikiwajumuisha Watu wenye Ualbino na wasio na Ualbino toka mataifa mbalimbali Duniani.
Mbio hiyo itafanyikia Mkoa wa Mara, wilaya Tarime ambayo itatangaza utalii wa ndani na nje pamoja kuvitangaza vivutio mbalimbali vilivyoko Tarime na Wilaya zinazopana nayo pamoja Taifa kwa ujumla pamoja na kuongeza mapato ya Taifa ikiwemo Pato la Wilaya ya Tarime kwa wageni kushiriki katika mbio hiyo. sambamba na hilo lengo mahususi ni kuwezesha upatikanaji wa mahitaji mbalimbali na fedha kwa ajili ya ujenzi wa Uzio wa Shule, Darasa la michezo kwa Watu wenye ulemavu na uwanja wa kisasa shirikishi wa michezo kwa Watu wenye ulemavu. Ikiwemo kuwezesha upatikanaji wa mahitaji muhimu ya Watu wenye Ualbino.
Ungana nao kwa kukimbia nao pamoja kwa kujisajili mapema kushiriki.
Ikiwa umeguswa kuunga mkono ufanikishaji wa Mbio hiyo wezesha kupitia lipa namba Mpesa 50613388 au akaunti no
20510066242 NMB Jina Albinism Sports Club.
Ombi kwa Mhe Rais Dr Samia Suluhu Hassankupitia Serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo na michezo kuwaunga mkono kufikia malengo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nao kupitia no 0747489804 au email [email protected]
Ili kufikia malengo ya Klabu ASC inakuja na bonge la Marathon ya kimataifa ambayo hajawahi kutokea Duniani hii itakuwa ni mara ya kwanza kufanyika na itafanyikia wilayani Tarime,Mkoa wa Mara tarehe 13/06/2026 ikiunganisha na maadhimi ya Siku ya kimataifa ya kuongeza uelewa juu ya Ualbino,
hii itawaleta Watu wenye Ualbino na wasio na Ualbino kukimbia pamoja kuendelea kuleta umoja na ujumuishwaji wa Watu wenye ulemavu katika shughuli mbalimbali za Kijamii, kiuchumi na kisiasa ikiwemo michezo.
Wito kwa Serikali, mashirika ya umma na yasiyo ya kiserikali wakiwemo wadau wa maendeleo na michezo na watanzania kwa ujumla kuwaunga mkono kuwawezesha ASC kufanikisha Marathon hiyo.
Kwa uwezeshaji tuma chochote ulichobarikiwa kwenda no
Lipa Mpesa 50613388
Akaunti no
Inawezekana Watu wenye Ualbino kushiriki na kushirikishwa katika michezo mbalimbali kwani nao Wana haki sawa na Watu wasio na Ualbino
kimbia nao uonyeshe upendo kwao.
changia ulicho barikia kufanikisha Mbio hiyo kupitia lipa namba
M pesa 50613388.
Au
Akaunti no 20510066242 NMB
jina ni Albinism Sports Club
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Kinondoni, Manyanya. . Near Osha Office
Dar Es Salaam