20/07/2026
ππ
π
πππππ: Klabu ya Young Africans SC imethibitisha kukamilisha usajili wa mlinzi wa Kulia Abdulnassir Assa 'Gamal' kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Mashujaa FC ya Mkoani Kigoma.
Mbali na nafasi ya beki wa kulia nyota huyo pia anamudu kucheza k**a winga ya kulia ya kupanda na kushuka.
20/07/2026
ππ
π
πππππ: Klabu ya Bayern Munich imethibitisha kumsainisha kiungo kiraka, Konrad Laimer raia wa Austria nyongeza ya mkataba mpya utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2029.
20/07/2026
DEAL DONE
Klabu ya young africans sc imemtambulisha rasmi mshambuliaji Hussein Mihambo(19) kutoka mashujaa Fc.
20/07/2026
DEAL DONE
Klabu ya simba sc imemtambilisha rasmi beki Nathaniel chilambo kutoka azam fc.
19/12/2025
klabu ya simba sc imemtangaza rasmi Steve Barker kuwa kocha wao mkuu atakaekiongoza kikosi icho cha msimbazi
18/12/2025
Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Sc imekutana leo Alhamisi Desemba 18, 2025 kwa ajili ya kikao cha kujadili mambo mbalimbali kuhusu klabu hiyo kikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Crescentius Magori.
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), Zubeda Hassan Sakuru na Mwenyekiti wa klabu hiyo, Murtaza Mangungu ni miongoni mwa waliohudhurua kikao sambamba na wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi akiwemo Barbara Gonzalez.