Yanga timu yangu

Yanga timu yangu

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yanga timu yangu, Stadium, arena & sports venue, Jangwani Street, Dar es Salaam.

30/05/2023

Wananchi tusitishwe na kelele za makolo wako washafeli miaka mingi sana

18/01/2023
16/01/2023

Welcome back mwananchi

15/01/2023

Hatutafunga dirisha kinyonge mda wowote kuanzia SSA tunatangaza mchezaji mkubwa Africa

13/01/2023

Karibu kwa wananchi msonda, k**a tulivyo wataarifu kabla kuwa msonda ata tambulishwa mda wowote Follow

12/01/2023

Tetesi zausajil

Yanga sc ikombioni kukamilisha usajili Wa beki Wa kati mamadou Doumbia Wa stade malien Ya Mali , ni usajili makin sana

Fata kwa habari za usajili

11/01/2023

Wananchi mko tayari kumla ihefu ,? Weka alama ya moto

11/01/2023

Kennedy msonda ni mwananchi

Yanga wamekamilisha usajili Wa straika Kennedy msonda kwa mkataba Wa miaka miwili akitokea power dynamos ya zambia, na mda wowote kuanzia ssa ata tabulishwa

11/01/2023

2025 yanga wana malengo makubwa sana
Hasa huyu mbeba maono wetu injinia

01/09/2021

Wananchiii tulitisha mtagi mwanasimba mmoja aone motoπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

29/08/2021

πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Jangwani Street
Dar Es Salaam