16/05/2023
Bado mengi mazuri yatakuja kupitia kwa Wonder Kid, PB 1️⃣1️⃣
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from jay tunda simba sports fan, Sports Team, Dar es Salaam.
16/05/2023
Bado mengi mazuri yatakuja kupitia kwa Wonder Kid, PB 1️⃣1️⃣
16/05/2023
Mwakani mapema sana
One team 🦁🦁🦁🦁
16/05/2023
Beki wa kulia wa Simba SC, Shomari Kapombe amesema ameshuhudia mabadiliko chanya ndani ya klabu hiyo tangu kutua kwake mwaka 2011 japo kuna maboresho yanapaswa kufanyika ili kupiga hatu zaidi kimaendeleo.
“Kikubwa ambacho nachotamani Simba wakifanye siku moja nikaona Simba ina Technical Director (Mkurugenzi wa Ufundi)” sehemu ya maneno ya Shomari Kapombe alipozungumza na Simba TV.
Je, wewe watamani Simba wafanye marekebisho eneo gani?
16/05/2023
Watoto w msimbazi❤️❤️❤️❤️
20/03/2023
Tunafurahi pamoja, tunaumia pamoja.
20/03/2023
Record imeandikwa
We are unstoppable