13/06/2023
TAZAMA MAGOLI YA VIWANGO KUTOKA KWA PIHIRI NA CHAMA (KIMATAIFA) #subscribe #simbasctanzania
KARIBU SIMBA KWANZA
Hapa utapata habari zote za Simba Sc
Tunakuomba Follow Page na Like Page
13/06/2023
TAZAMA MAGOLI YA VIWANGO KUTOKA KWA PIHIRI NA CHAMA (KIMATAIFA) #subscribe #simbasctanzania
13/06/2023
Follow Simba Kwanza
Tunaweza kusema kuwa huu msimu wa (2022/2023) Ulikuwa msimu bora sana kwa (Saido) kwa kutwaa tuzo nyingi zaidi👇👇👇👇
(1) Mfungaji Bora wa (NBCPREMIER)
(2) Kiungo Bora wa (NBCPREMIER)
(3) Fair Play (NBCPREMIER)
Hongera sana Godfather wa Bujumbura hii yote ni juudi yako kujituma kwa moyo wako wote hii ndo faida yakuwa (Big Play)
Tunatambua k**a Simba ingekuwa bingwa wa NBCPREMIER basi tungeona tuzo ya (MVP) kwako ila ndo hivyo tujipange kwa mapambano ili kesho tuwe imara zaidi naomba kuwambia wana Simba kuwa tuzo ya (MVP) ipo sawa akuna figisu (Mayele ) Mafanikio ya timu yake yamempa iyo tuzo Hongera kwake🙏
(NB). TUNAOMBA MSHEREKEHE SIKU YENU YA FURAHA YA MWISHO COZ TUNAENDA KUFANYA MAPINDUZI YA KIBABE MSIMU WA (2023/2024) MWANA SIMBA KUWA NA AMANI💪
21/05/2023
Yes ukipenda unaweza kumwita (Kiungo Punda ) huu msimu kawa na kiwango cha (Juu Sana) toka mwamba katua Simba kila kocha anaeku Simba basi mzamiru anakuwa na namba ya kudumu
Kwangu naweza sema uyu ndo (Kante) wa bongo sio mtu wa kusifiwa sana wala kuongea sana kaacha miguu yake iweze kuongea zaidi yupo katika tuzo za Ligi kuu msimu huu katika nafasi ya (Mchezaji Bora wa Mwaka) (Kiungo Bora wa Mwaka) kwangu namuombea sana kuweza kuchukua japo tuzo ya Kiungo bora sababu kwenye mchezaji bora hapo kuna vigogo sana ila yote wewe ni (Fundi) Tumpe (Maua) yake...
KWA HABARI ZAIDI LIKE PAGE YETU HII
20/05/2023
Anaendelea kuimarika na kurudi kwenye hali nzuri ya kuwatumikia Wanasimba.
KWA HABARI ZAIDI LIKE PAGE YETU (HII)