05/08/2025
Huu ndio muhtasari wa uhamisho unaoendelea barani ulaya, ukiwa na taarifa zote muhimu pamoja na vyanzo vyake:
* Benjamin Sesko: Kuna vita vikali kati ya Newcastle na Manchester United kumsajili mshambuliaji huyu. Newcastle walitoa ofa ya takriban ยฃ69.7m. (Chanzo: Sky Sports, Fabrizio Romano)
* Alexander Isak: Ofa ya Liverpool ya zaidi ya ยฃ100m ilikataliwa na Newcastle. (Chanzo: The Independent)
* Carney Chukwuemeka: Chelsea na Borussia Dortmund wameanza upya mazungumzo ya uhamisho wa kudumu wa kiungo huyu. (Chanzo: Fabrizio Romano)
* Tyler Morton: Kiungo wa Liverpool anakaribia kujiunga na Lyon kwa ada ya takriban ยฃ15m na anafanya vipimo vya afya. (Chanzo: This Is Anfield)
* Chuba Akpom: Ipswich na Birmingham City wanachuana kumsajili mshambuliaji huyu wa Ajax, ambapo Ipswich wanaongoza. (Chanzo: Sky Sports)
* Douglas Luiz: Amekubaliana na Nottingham Forest kimkataba, lakini ada ya uhamisho inajadiliwa na Juventus. (Chanzo: TuttoSport)
* Fabio Vieira: Kiungo wa Arsenal anazungumza na VFB Stuttgart kuhusu uwezekano wa kujiunga nao. (Chanzo: Sky Sports)
* Gianluigi Donnarumma: Kipa huyu wa PSG anahusishwa na uwezekano wa kujiunga na Manchester United. (Chanzo: TNT Sports)
09/08/2024
Mwamba huyu aitwaye Dominic Solanke ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟanakaribia kujiunga na klabu ya Tottenham kutoka Bournemouth kwa ada ya uhamisho ya ยฃ65m.
Nyota huyo anajiandaa kukamilisha uhamisho wake kujiunga na miamba hao kwa muda wa miaka sita
Via
09/08/2024
Mwamba huyu aitwaye Pedro Neto raia wa Ureno ๐ต๐นanakaribia kujiunga na klabu ya Chelsea kutoka Wolverhampton wanderers (Wolves) kwa ada ya uhamisho ya โฌ63m.
Malipo ya awali ni โฌ60m kisha โฌ3m zitalipwa kwa muendelezo kupitia vifungu vya mkataba
Ratiba ya vipimo kwaajili ya kukamilisha uhamisho wake kujiunga na miamba hao wa London iko tayari
Via
03/08/2024
Vikosi vya na tayari kuvaana usiku wa leo
04/07/2024
โ๏ธ๐จ๐ฎ ๐๐๐๐
๐๐๐๐๐!
Simba SC wamefikia makubaliano na Racing Abidjan kumsajili beki wao wa kati daraja la juu *Chamou Karaboue* kuelekea msimu ujao.
Nyota huyo pia mekubali kuhama na ana shauku ya kucheza nchini Tanzania.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 ametajwa k**a beki bora wa kati katika Ligi Kuu ya Ivory Coast iliyomalizika hivi punde.
Via
๐ฆ
04/07/2024
Upangaji wa timu zitakazofuzu kushiriki michuano ya AFCON 2025 Unaendelea nchini Morocco
04/07/2024
Habari mpya kutoka ni kwamba mlinzi wa kushoto aitwaye Nickson Kibabage aongeza mkataba mpya utakao mfanya kuweza kusalia klabuni hapo
04/07/2024
๐จ๐๐ฆ
TETESI MBALIMBALI ULAYA
1.Inasadikika katika viunga vya Carrington kocha wa Manchester United Eric Ten Hag anakwenda kuongeza mkataba mpya wa misimu miwili kuendelea kusalia klabuni hapo mpaka mwaka 2026.
2.Mlinda lango wa klabu ya Manchester City na Brazil ๐ง๐ท รderson Moares anahusishwa kujiunga na moja ya vilabu vya ligi kuu Saudi Arabia ๐ธ๐ฆ huku Ikitajwa Al Nasri na vilabu vingine.
3. Mlinzi wa kati raia wa Italia ๐ฎ๐น na klabu ya Bologna Ricardo Calafiori anayehusishwa kujiunga na klabu ya Arsenal na Chelsea,ameonyesha kuvutiwa kujiunga na Arsenal huku klabu ya Bologna Ikitajwa kuhitaji kiasi kisichopungua โฌ50m.
4.Klabu ya Flamengo kutoka nchini Brazil ๐ง๐ท inaangalia uwezekano wa kuweza kumpata kiungo nyota wa klabu ya West Ham na Brazil Lucas Paquetรก
5.Klabu ya Napoli kutoka Italia inaripotiwa kuwa itahitajika kulipa kiasi cha โฌ12m kuweza kumpata nyota raia wa Uhispania ๐ช๐ธ Rafa Marin kutoka klabu ya Real Madrid.
04/07/2024
Kuna jambo gani viunga vya Jangwani?
Tusubiri baada ya saa 9:30 alasiri
Via
04/07/2024
Kufikia sasa, RS Berkane haikupokea mwaliko wowote wa kucheza Ligi ya Soka Afrika yaani CAFCL au CAFCC โ๏ธ๐ฒ๐ฆ
Wydad wanaweza kuchukua nafasi hiyo kutoka Morocco. โ
Via
04/07/2024
Baada ya kocha Rulani mokwena kuachana na klabu ya Mamelodi Sundowns kumekuwa na taarifa ya kuhitajika katika timu ya AS FAR iliyopo Morocco.
Ambapo yeye kwa sasa anasema anahitaji kupumzika.
Tusubiri tuone nini kitaendelea.โ ๏ธ
AS FAR watajaribu tena kurejea kwa Rulani Mokwena?